Home
Unlabelled
kariakoo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh michuzi umeweka picha ya mtaani kwetu kabisa. Nilizaliwa mtaa huu.
ReplyDeletewanaonaje wakiziacha baadhi kama historia, ukitegemea haturudi tena nyuma!
ReplyDeleteMICHUZI UMEPANGA VIZURI SANA KAZI YAKO LAKINI HIYO RANGI NYEUSI NA MAANDISHI MAKALI MEUPE INAUMIZA SANA MACHO HASA KWA SISI TUNAOPENDA KUANGALIA KWA MAKINI PICHA NA MAANDISHI,SAMAHANI KWA USUMBUFU NI ONI TU AHSANTE.
ReplyDeletesasa hao wenye hiyo nyumba wanasubiri nini kulamba japo wastani wa mil 300 na 800 = 510 wakaenda kujenga hekalu la maana kuliko hizo mbavu za mbwa? Au ndio kwa sababu kodi ya wapangaji ndiyo inayowafanya waishi mjini?
ReplyDeleteSUALA LA NYUMBA KAMA HIYO KUBAKI HAPO HAIHUSIANI KABISA NA MASLAHI NI LA KIASILI...
ReplyDeleteukienda kwenye jiji la Tanga (kunani)kuna nyumba za udongo na makuti katikati ya jiji sembuse hizi
ReplyDeleteAsante emergencypoison kwa marekebisho. Hapa nimechoka yaani mtu analinganisha maisha mabaya na asili!! Kweli Watanzania tuna safari ndefu. Kwa taarifa yako wewe anony unayesema asili hapo palikuwa na nyumba ya makuti kabla ya hiyo iliyopo sasa, ni vipi kama ni asili haikuachwa ile ya zamani. Nafikiri sasa ni wakati mzuri kuwepo sheria kama unang'ang'ania kiwanja hicho ujenge nyumba inayokubalika vinginevyo ukubali kuwapisha wanaoweza. Hiyo nyumba hapo ni uchafu na bila shaka ina mgogoro wa urithi ndio maana hakuna anayeweza kuchukua pesa. Huwezi kuishi kwenye nyumba mbovu hivyo wakati unaweza pata bonge la nyumba na pesa ya kuinvest kwenye shughuli zingine, isipokuwa kama kuna mgogoro.
ReplyDelete