Home
Unlabelled
kizimbani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maskini hawa akina Mama ndio waliotolewa kafara, Mipapa yenyewe ilikula hela inaendelea kudunda.
ReplyDeletekatika hiri kama wamehusika tena mama na baba wazima kwakweli wasionewe huruma. Unajua ukiwa mkubwa ufanye mambo ya kikubwa. Sheria ichukue mkondo wake. Make hata aliye bomolewa kwa kweli anaweza kuwa kichaa. Zile nyumba siyo mchezo bwana.
ReplyDeleteANONY 11:O7 AM,ANGEKUWEPO MAMA YAKO MZAZI KATI YAO UNGESEMA HIVYO?
ReplyDeleteKWA JINSI OFISI ZETU ZA BONGO ZILIVYO,SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUMUHUKUMU MTU DAIREKTI!
MIMI NAWAPA POLE,NDIO MFUMO WA MAISHA YA NCHI ZETU ZA AFRIKA.
ok bwana wakati wa kaka beni unajua umekwisha sasa hiyo ni kasi nami ngoja niungane nawe kuwapa pole lakini inabidi zile ofisi zetu za bongo tubadilike. Vinginevyo haina maana kila mtu kuwa na ofisi ukafanya unachotaka. mama pole lakini ndo ukubwa na experience.
ReplyDeletePumbaf sana, wezi wakubwa hawa, Sweka wote hao Segerea maramoja
ReplyDeleteWakila wakubwa wa nchi ni sawa kesi itazimwa, atatolewa huku apelekwe kule...lakini wakila watu wadogo basi tena ndio ukauze samaki feri. Mfano mzuri ni Prof.Mahalu aliyekuwa balozi wa Italy.
ReplyDelete