maofisa wa idara ya uhandisi wilaya ya kinondoni wakiwa mahakama ya hakimu mkazi ya kisutu wakingoja kusomewa shtaka la kughushi nyaraka zilizopelekea kujengwa kwa hekalu la masaki toka ghorofa tatu hadi nane

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    Maskini hawa akina Mama ndio waliotolewa kafara, Mipapa yenyewe ilikula hela inaendelea kudunda.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2006

    katika hiri kama wamehusika tena mama na baba wazima kwakweli wasionewe huruma. Unajua ukiwa mkubwa ufanye mambo ya kikubwa. Sheria ichukue mkondo wake. Make hata aliye bomolewa kwa kweli anaweza kuwa kichaa. Zile nyumba siyo mchezo bwana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2006

    ANONY 11:O7 AM,ANGEKUWEPO MAMA YAKO MZAZI KATI YAO UNGESEMA HIVYO?
    KWA JINSI OFISI ZETU ZA BONGO ZILIVYO,SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUMUHUKUMU MTU DAIREKTI!
    MIMI NAWAPA POLE,NDIO MFUMO WA MAISHA YA NCHI ZETU ZA AFRIKA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2006

    ok bwana wakati wa kaka beni unajua umekwisha sasa hiyo ni kasi nami ngoja niungane nawe kuwapa pole lakini inabidi zile ofisi zetu za bongo tubadilike. Vinginevyo haina maana kila mtu kuwa na ofisi ukafanya unachotaka. mama pole lakini ndo ukubwa na experience.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2006

    Pumbaf sana, wezi wakubwa hawa, Sweka wote hao Segerea maramoja

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2006

    Wakila wakubwa wa nchi ni sawa kesi itazimwa, atatolewa huku apelekwe kule...lakini wakila watu wadogo basi tena ndio ukauze samaki feri. Mfano mzuri ni Prof.Mahalu aliyekuwa balozi wa Italy.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...