hoyce hivi sasa amerudi nyumbani na ana mipango ya kufungua kampuni yake ya pr, ingawa ofa za kazi zinamuandama. pia leo katangazwa kuwa jaji mkuu wa miss kilimanjaro itayofanyika moshi siku ya ijumaa. habari na picha zake zaidi baadae

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2006

    Kimwana kimependeza sana utafikiri bado bkr?karejuvinate kiroho mbaya kweli majuu ni majuu tu, mambo kibao.Karibu dada katika nchi yako iliyokupromote mpaka ukafikia hapo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2006

    Hivi michuzi huyu dada ana mtu tayari? Maanake wengine bado tunatafuta.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2006

    daa mtoto kaiva kichizi, naona michuzi unameza mate tu hapo , lakini hata hivyo mme mechikimtindo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2006

    huwa nafurahi sana kuona staili za kupiga picha za michuzi hebu muoneni alivyomzuia hoyce utadhani binti alitaka kukimbia? au anaogopa tusijesema ameunganisha kwa adobe na si orijino picha?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2006

    Michuzi mimi shabiki wako ila machale yaminicheza mbona ile hot mada ya leo umeitoa?acha watanzania wausemee moyo jamani aaai!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2006

    Michuzi, hiyo ngoma siyo kibarazani Movenpick kweli?

    ReplyDelete
  7. There is a dangerous virus being passed electronically, orally and by hand.

    This virus is called Worm-Overload-Recreational-Killer (WORK).

    If you receive WORK from any of your colleagues, your boss or anyone else via any means DO NOT TOUCH IT. This virus will wipe out your private life completely.

    If you should come into contact with WORK put your jacket on and take two good friends to the nearest gathering where u find Brothers of All Races (BAR). Purchase the antidote known as Work-Isolator-Neutralizer-Extractor (WINE) or Bothersome-Employer-Eliminator-Rebooter (BEER). Take the antidote repeatedly until WORK has been completely eliminated from your system.

    You should forward this warning to 5 friends. If you do not have 5 friends, you have already been infected and WORK is controlling your life.

    Nice day and enjoy your work

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 30, 2006

    Michuzi samahani huyo dada ameisha chukuliwa au vipi make na mimi naweza tangaza kazi kuanzia sasa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2006

    bABU MBONA UMEWASHIKIA BANGO MA-MISS KUNA NINI HUKO? HAHAAAAHAA SAWA BWANA TAFUNA POLEPOLE

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 30, 2006

    email au simu watu tuanze kuimba za kibongobongo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2006

    email yake ni hii hoycet@hotmail.com simu ni kwa ajiri yangu tu. 0112557---------

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 01, 2006

    huyu dada ni mzuri au weupe tu wajameni!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 04, 2006

    humo hamna lolote humo pande la pakacha tu humo ndani kuti kavuuuu,kishakunjuliwa matako yote na mbele hakufai hata kuona.huo weupe lazima kapita maduka ya wapakistan kwa ajili ya deki.hebu akipeleke kwa wanaotaka shortcut.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 05, 2006

    Dada ni mzuri sana ndio na hana tabia chaaaafu saaana kidogo tu, si kama za Shose Sinare na Emily Adolf. Kwahiyo bwana mpeni chance, hasitahili matusi, ni mtu ambaye hakutegemea tu umisstz, alipomaliza hapo kaenda kujiendeleza na masomo na tuko proud kuona kuwa anaweza kujipatia ajira na siyo kutegemea kinyemela kujifanya bize na kunata kama kina Shose wakati ajifanya expensive wakati wazungu wamekula na waafrika wabongo hapa na pale lakini sifa ya Shose ni kuwa anapenda kukazwa kwa siri. bongo hamna siri. Hoyce kip it ap. Jiendeleze uko na klasi fulani hivi mpaka sasa maana haujasemwa na bad comenti kama alizopata mrembo mwenzako Shose mpaka imebidi wamwombe Michuzi aondoe picha zake zote hapa kwenye blog. Usibabaishwe na hiyo comenti moja hapo juu.

    ReplyDelete
  15. ....mkono huo, michuzi, mkono huooo........!

    ReplyDelete
  16. jamani nyie wabongo kwa unafiki mmeona yupo na michuzi ndio mnampa sifa huyo dada hana sifa yoyote maringo tu yamemzidi hadi kwenye ma beauty parlor anapigania waume za watu.na sijui kahama kijitonyama manake nilikuwa nikimpitia zamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...