bucha ya mbuzi huko kisongo, geita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2006

    Michuzi tupe na za pale KIBAIGWA maana napo mabucha yapo njenje waheshimiwa wakirudi huwa wananunua mbuzi mzima zawadi kwa mama, lakini mainzi kibao!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2006

    ebwanae Michuzi acha kututoa udenda watoto wa wenzio,naiona kwa mbaali tu lakini vimate vyantoka kama nini.!na moja ya vitoweo muhimu sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2006

    hawa jamaa wa huko ni kibiko huyo mwenye koti jeupe ni nani ngariba? maana wanakeketa hadi mbuzi....kurya,kerewe,zanaki na wajita

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2006

    shika adabu yako kabila hizo zina heshima yake. koma

    ReplyDelete
  5. Hapo geita kuna mtaa unaitwa Balenge halafu kuna sehemu inaitwa lake view (pub)kwa monde hapo acha bwana, halafu kule mgodini kuna sehemu inaitwa mchauru village pametulia, tatizo la huu mji ni vumbi mpaka kwenye meno halafu hamna starehe zaidi ya pombe na mikasi na jamaa wa migodini si unajua walivyo na kisu (hela)ma CD kibao wanaenda kutega mingo huku

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2006

    Mai Godi! Yaani bucha iko kwenye dampo kabisaaa. Na sia ajabu jamaa amnaokota hiyo mifuko ya plastiki pembeni anaiosha na kisha kuwafungia wateja wake kitoweo!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2006

    Hiyo ni Bucha bana sio dampo, wewe umekulia wapi? unafikiri hata minyama unayokula bongo inachnjiwa wapi? Tena usipoangalia hiyo unaoita dampo ni safi kuliko nyama ya bongo inakochuniwa, hata mibucha yao ukiingia nani siku hiyo hiyo utakuwa vejeteriani, na mboga mboga nazo zitakushinda kwani mbolea na maji yanayotumika kuzikuza ni Mungu anajua tu.

    Kama unataka kuwa vitu visafi ni sharti uvifanye wewe mwenyewe. Kazi kwako sasa!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2007

    VIBUDU,VIBUDU,VIBUDU...!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...