toka shoto ni emmanuel mlundwa, mbwana matumla na bakari selemani. mlundwa ni rais wa pugilistic syndicate of tanzania (pst) na sele ni pr0mota na refa. mbwana anazipiga bado

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2006

    HONGERA BADO ZITAMWAGIKA,KWENYE VYOMBO VYA HABARI SIO VIBAYA UKIONGEZA DA HOTWIRE!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2006

    Hawa mabondia mbona afya zao mbofu mbofu?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2006

    Anony bondia ni mmoja tu hapo Mbwana. Ila siyo siri kukosa udhamini tu hako kakijana (Mbwana) kalikuwa kanafurahisha kukaangalia kikiwa ulingoni. Michuzi mpango wa Don King kumpromoti uliishia wapi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2006

    Kuwa star Tz hakuna kitu hawa jamaa wangekuwa sehemu nyingine wangekuwa mbali sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2006

    PROMOTER ANABIPU......PROMOTA MAJALALA MLIO UGHAIBUNI HUU MSEMO MSHAWAHI KUUSIKIA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...