an huyu ni james mbatia mwenyekiti wa nccr-mageuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2006

    Huyu jamaa ni chakula, hiyo siasa mi kama kizibio tu,tafuta watu waliokuwa naye mlimani wakwambie

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2006

    lakini mie naamini huyo anaweza kuwa shoga, hebu angalia hivo vidole kwanza, jinsi vilivyo na ninsi alivoviweka, poscha manake.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2006

    hao wanaosema huyo shoga ni ccm hao wanataka kumpaka matope mwenzao, looo hata hamuoni aibu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2006

    Ndio maana nchi zetu zinakosa mwelekeo kabisa kabisa, jambo halina maana kabisa watu mawazo lukuki, lete wazo la maendeleo kaputi na kujiumauma kwingi je tutafika? Wtu wanabakia kulaumu tu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2006

    mimi ni mtanzania na nipo huku nje kimasomo,
    kusema ukweli watanzania mnahitaji sana msaada hasa kutoka kwetu sisi ambao tumepata bahati ya kusoma shule ya kikwelikweli sio kubabaisha,
    mfano mdogo tu nitakupeni ni jinsi gani inaonyesha watanzania wengi walivyo na mawazo na mitazamo finyu saana,
    how come mtu unaweza kuanza kuzungumzia personal isues katika public forum like this?
    how sure you are with the informations your delivering here,
    do you know how costfull those information can be to the person?
    remember james mbatia is a human being like you,he has friends and family,
    what do you think about that?
    kwa mimi ambaye na mjua james mbatia tangu akiwa UDSM najua kuwa the man is blessed and tallented, ni wazi ttu kwasababu ya STUPIDITY ya watanzania hatutaweza kurealize uwezo wa watu kama akina mbatia na genuis wengine.
    instead of commenting on the political isues or critising his ideas or political vews unaenda kuangalia personal isues.
    i say your all STUPID and YOU WILL REMAIN POOR UNTIL YOU COMPLETELY CHANGE.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2006

    nafikiri uliyeandika anony 6.16PM ni mtu mwenye busara na ninafikiri wote waliyotoa maoni hapa ya ajabu nawatafutia jina sijui inawezekana kama mwenzetu alivyosemahapa Mna elimu duni. Kila mtu ajaribu kutoa. Huu ni ukosefu wa Elimu nilipoona picha ya mbatia nilisema sasa ngoja niangalie Watu wanasemaje make kweli mbatia najua ni mtu mwenye mtazamo wa mbali. Kuliko hizo story mnazopiga hapa za mrema wakati anagombania ruzuku. narudia walioandika maneno mabovu hawana maana. hawa ndio vijana Eti wanaomba wapewe kutawala nchi. Hawa wote kama wamefika form six wamepata zero wote. Unajadili ujinga tu.Ndio maana Nchi kama tanzania inatakiwa kutungiwa sheria ndogo ndogo potelea mbali hata kama zinakwenda kinyume make wengi kuelimika hakuna kabisa kabisa, mwafa maskini bwana, fikiria mbali mbali watu wanfikiria kwenda mwezini bado unafikiria story za 47?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2006

    Anony 6:16 & 6:31,
    Woye mko na point nzuri tu na hao ambao wameandika mnachosema ugoro na wao pia wana point pia. Hiyo ndio demokrasia yenyewe. Ukiwa mwanasiasa utachimbwa hadi kwenye personal issues, sio mara ya kwanza kutokea kwa Mbatia. Mnakumbuka ni kitu gani kilimtokea Bili Kilintoni na Monika Lowensiki kwani uhusiano wao wa kimapenzi hakuwa pesono? mboni bili kilintoni alikuwa impichidi na bunge la marekani?

    Wangapi mawaziri wa huko nje unakosoma walijiuzulu kwa sababu ya kufanya mambo pesono amabayo hayakubaliki mbele ya jamii zao? kwa maana hiyo basi as long as Mbatia ni public figure sioni ni namna gani pesono na non pesona zitatenganishwa.

    Mwisho kabisa ningeomba hata kama hamkubaliana na maoni ya wenzenu jamani msitukane wala kuwaita wenzenu majina ya ajabu ajabu. Kufanya hivyo itaonyesha hata nyie mliosoma hamkupata elimu na kuelimika bali tu mmehudhuria tu shule au kwa maneno mangine elimu muliyoipata hakusaidieni ktk shughuli za kila siku na mawasialiano ya kila siku.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 23, 2006

    Anony wa 8.06PM nafikiri umemaliza mjadala hao walioandika hapo juu nafikiri ni baada ya kuona uchafu, uchafu hapa nafikiri sasa turudi nyuma mbatia bado yuko NCCR mageuzi je chama sasa hivi kinaendeleaje? Yule aliyekuwa amemsimamisha ubungo nashikia ni mdogo wake hivi ni kweli au hapana?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2006

    UKITAKA KUJUA MAJUNGU,WE ANGALIA ANONY ZENYE MATUSI ZINAVYOKUWA NYINGI.KAMA UNATOA TUHUMA KWA MTU NA UNA HAKIKA NAZO NI VIZURI AKAANDIKA JINA.LAKINI KAMA UNAMZUSHIA TU MTU KWA SABABU BINA FSI UTAONA DALILI ZAKE.
    MIMI KATIKA VIONGOZI WA UPINZANI NINAOWAFAGILIA MBATIA YUMO!(INGAWA SINA CHAMA CHA SIASA)
    KAMA TUMESOMA NA KUELIMIKA TUACHE MATUSI!ILA KAMA TUMESOMA KWA KWENDA SHULE TUENDELEE NA MATUSI!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 25, 2006

    SASA WEWE ANONY HAPO JUU,UNATAKA TUKUSAIDIAJE???WEWE NI MKEWE AU MUMEWE??MBONA HATUKUELEWI???

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2006

    Halafu Wabongo wote wazushi wliosoma na wasiosoma. Kama personal issue inawakera imekuwaje aliyekuwa anatembea na ma watoto wadogoooo mkampa Urais. aaaaah tushachoka sasa.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 28, 2006

    Kwani kutembea na watoto wadogo kuna ubaya gani?Saa nyingine walikuwa ni watoto wake anakwenda nao beach?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 28, 2006

    Anony at5:08 usijifanye ujanielewa. Nikisema watoto wadogo nina maana vimwana au podas. Jamaa ni shemeji na baba wa wengi sana na ndio wengi wanamtetea. Unajua nchi za watu mtu kama huyo hata "haqualify" kwenye nafasi hiyo. Wengine walikuwa wanadiriki kutukana walimu wao redioni wakiwa watangazaji leo hii mnampa uongozi nyie wabongo pumba sana.Sasa sishangai jamaa akiwa chakula ya watu na iko siku atatuongoza! Hii sasa noma!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...