Home
Unlabelled
balozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hilo jengo lipo mtaa gani?
ReplyDeleteLipo Garden Avenue, mkumbukage kurudi nyumbani mara moja moja. Hilo jengo lina zaidi ya miaka mitano toka likamilike
ReplyDeleteMzee Michuzi naona kwenye hili jengo, bendera ziko nusu mlingoti au ni macho yangu. Mzee ukipata nafasi utukumbushe na Manzese.
ReplyDeleteAliye nacho huongezewa...
ReplyDeleteViza wanatoa lakini?
ReplyDeleteAnony wa 10:05Am tunapenda sana kurudi kwetu lakini wengine tulizamia kuja huku ina maana tukirudi ndio itakuwa basi tena. Wengine tumebanwa na Milungu hata hatukumbuki tena kwetu.
ReplyDeleteaisee michuzi ondoa hii color ya pink. vitu vya aibu...
ReplyDeleteni kweli hata mimi nilisema mwanzo ile rangi ya blach bomba sana. classic
ReplyDeleteBwn Michuzi kwanza hongera kwa kuifanyia hii blog fesi lift. Mpangilio wake sasa unaendana na hadhi yako Mheshimiwa michuzi.
ReplyDeleteRangi pia nzuri sana sema tu kwa wale walioko ughaibuni hii rangi inatafsiri sio nzuri sana kwani rangii hii mara nyingi hutumiwa na mashoga.
kuna msemo usemao "it takes courage for a man to wear/use pink"
Kwa wale mlio ughaibuni, hivi katika balozi mbali mbali bendara ya nchi mwenyeji huwa hazipeperushwi?
ReplyDeleteKwa hapa sijaona bendera ya Tanzania ndio maana nimeuliza hilo swali!
Nyumbani is getting better big time in the unbelievable rate growth. Hopefull we will be in that rate for while. "Mungu ibariki Tanzania".
ReplyDeleteMICHUZI MPENZI NAOMBA UWEKE RANGI NYEUSI KAKA
ReplyDeleteKatika Dunia hii sio rahisi kumridhisha kila binadamu. Mzee michuzi katika swala la backgound/ rangi hata uweke ipi lazima utapata malamiko. Mkumbuke kuna tofauti ya colour perception kati ya binadamu, kuna wengine hata hiyo rangi unayo iona wewe kuwa ni ya pink, mwingine anaweza kuiona kama light blue. Kuna kitu kinaitwa colour Blindness. Hivyo maoni yangu wewe stick kwenye hiyo ambayo utashauri na watu wako wakaribu kwamba iko bomba.
ReplyDeleteOna sasa nyie mlioomba tubadilishiwe rangi ya pink.. mnaona sasa matokeo yake tunaletewa michanganyiko ya kizaire sasa. Kijani na crazy blue wapi na wapi?
ReplyDeleteWe MK hebu rudisha pink bwana! mnatuletea rangi gani za zaramo?
ReplyDeleteKama mmeshindwa bora mrudishe blogu kama ilivyokuwa mwanzo, maana tulikuwa hatujalalamika.
ReplyDeleteApo poa acheni hii pink mtalizasha nani na kuacha nani.
ReplyDeleteWe MK tuwekee rangi za kawaida bwn, hizo crazy colour zinachosha macho!!!!
ReplyDeleteAcheni rangi hii, Msije mkafanya makosa tena. Msisikilize watu wengine wana mawazo yao mara hivi mara vile basi zogo tupu.
ReplyDeleteWee Grill rudi kusalimia wazee homu. Wenzako kila mwaka tunaenda. Eboooo!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteRangi ya Pink ina maana tofauti hasa Marekani na Uingereza. Lakini kwa Tanzania haina ubaya, ingawa kwa upande wangu ningeweka rangi tofauti, pengine rangi ya Olive (darker).
ReplyDeleteUpande wako kwani blogu yako? ACheni kujishaua kawa ambieni ipp au cnn au web yoyote kama wata wasikiliza.fungueni zenu na mlete sheria mbuzi.kila mtu ana maamuzi yake. washamba nyie.
ReplyDeleteWatu wengine acheni unoko. Kama rangi ina waumiza macho mnaweza kupunguza brightness kwenye screen zenu za compyuter. Kwani unavyo surf kwenye sites nyingine unaangalia yanye rangi unayopendelea? Acnana na hawa wanoko mzee michuzi, songambelee lete maviruzi.............
ReplyDeletewapakeni haoooooooooooooo kila siku tunawaona na tuna wajua wamezidi kwa sana tu mara vile mara hivi mara macho sijui nini kwani nyie ndo nani. fungueni zenu na mlete sheria mbovu. kila mtu ana penda anacho taka na brogu sio yenu fungeni domo. kama alivyo sema anony hapo, mwambieni mengi kama atawasikiliza. pumbaf mnakera kama nini na tunawajua nyie kwa tabia zenu mbofu.
ReplyDeleteAma kweli nyani haoni kundule, Sasa nyie mmnaowakataza wenzenu wasitoe maoni yao hamuoni na nyinyi mnaleta sheria zenu mbofu mbofu?
ReplyDeletekama kweli mngekuwa mnataka kumpunguzia kazi mzee Michuzi, basi musingeandika kitu kwani kwa kuandika mnampa kazi ya kusoma maoni yenu amabayo nayo si mazuri.
Hata hao CNN na IPp nao pia husikiliza maoni ya watu wanaotembelea Tovuti zao na ndio maana huzibadilisha kukidhi mahitaji ya walio wengi.
Michuzi ni mtu wa watu na watu ndio sisi tunaotoa maoni yetu, Yeye Michuzi na MK wakitaka watachukua ushauri wetu na kama hawataki wataacha. Maoni sio lazima yafuatwe.
Kala pesepsheni kwa kweli hiyo haipo kama rangi ni redi ni redi tu sasa wewe ukianza kuita redi ni greeni basi umuhimu wa kala hamuna tena kwani kila ana tafisiri yake!
Hivi wewe anony hapo juu ulibahatika kuona hiyo kijani aliyokuwa ameweka mwanzo kabla hajabadilisha na kuweka hii iliyopo sasa? Ungekimbia nakwambia!
ReplyDeleteAnony 8:17 pm asante kaka kwa kumwaga point tupu. Watu wengine sijui wanajipendekeza kwa Michuzi? Mtu kutoa maoni kuna ubaya gani? Micguzi mwenyewe hajalalamika na ndio maana akabadilisha ile rangi nyeusi. Sasa hatuelewi wanaaochonga ni kwa faida ya nani. Hakuna shinikizo lolote la kumtaka abadilishe bakigraundi ila ni maoni tu. Hata CCN huwa wanapokea mawazo ya wasomaji wao ati kwa sababu wewe hujawahi kutoa maaoni huko ndio kusema hawashauriwi.
ReplyDeleteWewe anon 9:51pm una ubongo sana wewe usikubali mtu yeyote akuambie vinginevyo na hakuna atakayeandika maoni bomba kuhusu hii insu zaidi yako wewe. Yeyote ambaye bado hajaelewa basi tena itamchukua karne nzima kuelewa. Hopufuli ktk harakati zao za kuelwa hawataporomosha matusi.
ReplyDeletesasa hayo mabishano na hilo jengo kuna koneksheni gani acheni hizo!!!!!!!!!
ReplyDeleteBig up Lizzy, Michuzi kakaa chini, katoka na blogu, very interesting, picha kali..kumbukumbu..na nini..watu mjionee na kutoa comments..lakini wapi..watu mmeamua ku-devieti..mnapiga kelele ohh..kalaz za mashoga...kalaz zinaumiza macho...kalaz sio nzuri, kwani hii blogu ni kalaz blogu au... umelazimishwa kushiriki...kama macho mabovu vaa miwani acha uzushi, kama huna assosiesheni na mashoga, rangi haiwezi kukusumbua.
ReplyDeleteBwa' Michuzi, Hivi Mafuta House likoje sasa hivi, mimi nilivyotoka bongo ndio kwanza ilikuwa ghorofa ya tatu...lete utamu achana na wachimba chumvi wasio na shukurani fanya kipendacho roho ... au sio
Lizy na anon 12:52 na nyinyi sasa maoni yenu na hilo jengo yana uhusiano gani?
ReplyDeleteHapo Ubalozi ndani(ofisini) kuna wafanyakazi wahindi, wazungu na weusi wachache lakini sidhani kama ni WATZ maana mmoja yule kapanda kama Mnigeria ama Muganda, inawezekana ni sera zao kuajiri walinzi tu wa Kitz kulinda na kupangisha watu foleni lakini si katika kutoa visa.Hapo kuna nyanyaso sana ingawa wapo sehemu moja na ubalozi wa Ujermani amabapo mambo yao safi sana. Serikali ipitie balozi kuangalia nyanyaso wanazotoa kwa ananchi sawa?
ReplyDelete