hapiness magessa miss tanzania 2001

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2006

    Duuuh! kweli watu tunakuwa....Mr.Michuzi mimi naweza kupata wapicontact zake huyu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2006

    sasa huyu ndio alikuwa mrembo aliyependeza kama miss tz kuliko wote nashangaa kwanini alishindwa halafu mhh nakumbuka alivaa suti beach.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2006

    jamani huyu nasikia eti anatoka mashamba ya miwa kule Mtibwa ni kweli?aisee hicho cheusi kilichoko juu ya midomo yake huwa kinaniacha hoi sana, nielezeni kama yupo single ili nikirudi nifunge safari ya kwenda Turiani kumuona mzee Magessa ili tumaliziane kabisa kabla sijaanza kufanya kazi hapo Bongo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2006

    Jamani sio Magessa ni Magesse

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2006

    Asante sana kwa kurekebisha jina la baba mkwe mtarajiwa, sasa inaonekana wewe ni close-relative wao, nipatie nyeti nilizouliza hapo juu kabla ya masahihisho yako, tafadhali naomba nifanyie hilo naweza kuwa mmoja wa family hiyo ya jamaa zako, sawa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2006

    Duu.. aise mi si mwana familia wala mtu wa karibu yake. Ni mwananchi tu mwingine wa kawaida. Ila kutokana na vyombo vya habari, jina lake ni Magesse na Si Magessa. Hivyo ombi lako bado libaki kwa Wasomaji wengine wenye kumjua zaidi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2006

    Basi samahani sana nilidhani ni close relative wao.Nashukuru pia kwa kuliuza wazo hilo kwa wasomaji wengine.Nitakuwa mvumilivu maana mvumilivu hula mbivu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2006

    Br. uliyepania kuwa baba mkwe wa mzee Magesse usijali, ni kweli anatoka Turiani na Mzee Magesse ni muumini mzuri tu hapa Bwagala Kanisani, kama ukirudi Bongo basi fanya kuja kanisani utapata muda wa kuongea naye,ila kwanza lazima uwasiliane na Happy mwenyewe, nilifanya naye mafundisho ya Kipaimara hapa, analipa sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2006

    Nadhani Br.Michuzi ndiye aliyeandika MAGESSA, hivyo si kosa la huyu jamaa aliyepania kuchukua jumla huyo Miss. Nasikia yupo Bondeni anafanya biashara ya mitindo.Jaribu kufuatilia kwenye mitandao utampa, ama wasomaji msaidieni huyu ndugu.Happy hana makuu sana amelelewa vizuri kama Bakila Mwanakuzi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2006

    kweli kabisandiye yeye aliyenimisilidi kwenye kopsheni yake hapo chini ya picha. Lamaana mkwe mtarajiwa hajui kama nimekosea jina lake mpaka sasa.Asante wewe uliye huko Turiani nadhani ni mwanzo mnzuri kwangu nikija Bongo nitakutafuta nitumie contacts zako.Vipi Mtibwa?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2006

    Wajina unavutia sana.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 23, 2006

    Dogo mbona umechelewa jumamosi itakuwa ndio harusi yake anaolewa na mnigeria hapa bondeni pole sana

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 23, 2006

    Jamani huyu jamaa aliye amua naona tumsaidie wale wanaotembelea mitandao punde mpatapo taharifa tumjulishe mwenzetu si mnajua. Kuoa au kuolewa siyo jambo dogo hivyo watanzania wanao hamua kwa moyo mmoja kuachana na ukapera hatuna haja ya kuwa saidia. Mimi binafsi nitajitahidi kuwenye mitandao kutafuta na punde michuzi atakapopata habari wewe turushie tu. Mambo kusaidiana. magesa/e katulia bwana.

    ReplyDelete
  14. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 23, 2006

    naomba kuuliza simon kitururu wewe ni mdogo wa dave kitururu? jamaa yangu sana
    kama ndio nifahamishe basi

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 23, 2006

    unashangaa wanigeria kujaa bondeni na kufanya mambo makubwa uliza huko usa wanachanganya watu hawa watu nduguzanguni wana malengo makubwa sana

    ila magessa kuolewa na mnigeria umechemsha tuuu.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 23, 2006

    Simon unaye dada anaitwa Rose Kitururu naomba niambie basi huyu sista ana roho nzuri sana.

    ReplyDelete
  18. Simjui huyo Rose, nafikiri ni jina tu limefanana

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 23, 2006

    Sijakata tamaa na siamini kama kweli Miss anaolewa na Mnigeria.Any way, wako wema wataniletea taarifa katika mtandao.Nadhani kama ni kweli Mnigeria kafika bei basi ni kule kuona kwamba lazioma niolewe na mtu wa nje, hata mimi ningeowa mtoto wa Tobago ambaye ni best sana kwangu lakini naona Nyumbani ni nyumbani.Nasubiri kujua.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 23, 2006

    mnaigeria hana maana yoyote mataputapu wewe happy unachemsha

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 23, 2006

    Jamani mi naona huyu aliyetuambia kuwa happy anaolewa south ni muongo, au wenzangu mnasemaje?

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 23, 2006

    ok simon basi naomba sana nisaidie kuwasalimia davie na maya nilikuwa naishi nao mji kasoro bahari kwa sasa nipo nje ya nchi nilitoka Tz mwaka jana katikati.

    ReplyDelete
  23. Tatizo ni kwamba siwezi kuwaambia kua anonymous anawasalinia.Tembelea blog yangu nitumie meseji ni jue ninani. Unaweza kutembelea kwa ku click jina langu kwenye meseji hii

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 25, 2006

    nasikis siku hizi kabadili jina anaitwa millen anafanya umodeling chini ya Jan Malan production huko sauzi. aliwahi kutokea kwenye jarida moja la mitindo nimesahau jina lake, walahi hapo ukimuona MILLEN huwezi jua!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...