hoyce temu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2006

    Huyu Hoisi alikuwa miss wa mwaka gani jamani anayekumbuka?

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2006

    sio 1999 kweli ila si mzuri lakini ndiye miss mwenye akili kuliko wote

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2006

    Huyo hana akili kabisa huyo, alikwenda USA akawa anagombania mabwana ovyo ovyo kisha bwana mmoja aliipomgundua akamkataa Hoisi akaenda kwa huyo bwana na kujichoma kisu tumboni!

    Hii sio habari ya redio mbao mie binafsi niliambiwa na bwana muhusika

    ReplyDelete
  5. Bwn. Michuzi kuna picha fulani hivi uliipiga miaka ya nyumaaaa hadi ikashinda na wewe kupata tuzo ya picha ya mwaka (sikumbuki mwaka gani).

    Lakini picha yenyewe ilikuwa ni ya kibaka anarushwa nje ya Dala dala kupitia dirishani kama sikosei na wewe ukafotoa picha ya huyo kibaka akiwa bado hewani kabla hajatachi dauni.

    Naomba kama una hiyo picha kaka uiweka hapa ukipata wakti.

    Ahsante.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2006

    duuh mbona tena alienda kufanya hivyo?

    sasa ilikuwaje alikufa baada ya kujichoma kisu au?

    maana nimeogopa!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2006

    michuzi naomba tuwekee picha ya Emily Adolpdh yule ndi bomba kikwelikweli.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2006

    Noooo Anony 8:57pm hajakufa iliitwa ambiulensi na polisi wakamkimbiza hospitali si unajua tena nchi za watu?

    nafikiri alipata ushauri nasaha pia baada ya kujua alifanya hivo kwa sababu ya mambo ya kijinga

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2006

    Ni kweli Emily Adolf ana sura nzuri sana, pia usisahau kutuwekea na ya Mercy Galabawa. Natanguliza shukrani.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2006

    Bomba mwingine ni yule Mwanakuzi nimesahau jina lake la kwanza,alikuwa mrembo pia, tunaomba picha yake pia

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2006

    Michuzi mie ukiniwekea ya Taabu Ngongoseko yeye alikuwa rani apu wa miss Tz wa kwanza kama sio wapili tangu mashindano yaaanze.

    Ukipata picha yake nzima ili nikione kiuno chake na bihaindi yake nitafurahi sana.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2006

    Bomba zaidi ni yule Jackline Ntuyabalwe, tuwekehe picha yake tafadhali

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2006

    Huyo Tabasamu Ngongoseke ndie anayetambulika kama Lucy Kihwele siku hizi. Sio Miss tena ni jimama fulani.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2006

    hapana anony emily bwana huyu jacky ni mavipodozi tuu

    na mercy pia bomba sana.

    mimi binafsi sijaona uzuri wa huyi mnamuita jacky.

    aise huyo hoyce ameleta aibu sana na lazima jamaa alikuwa mnigeria ndio watoto wanachanganyikiwa nao sana kwa mahela yao ya uwizi.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2006

    ebu anony subiri kidogo twende taratibu,

    haya twende sasa: yaani alijichoma kisu kikaingia tumboni kabisa???????????

    duuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2006

    Jamaa ni wa congo ya kabila sio manaijeria. Jamaa wa kawaida sana sema ndio hivo tena kiswahili kile kibaya kibaya na lingala kidogo basi mtoto akakolea

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2006

    dduuh anony bora umejibu hili swali kabla sijakuuliza maana ndio nilikuwa nataka kukuuliza jamaa mkabila gani.

    kwa mkongo lazima adate jamaa wanatomba wale huku wanakuimbia masikioni sasa hapo ndugu yangu.

    mhhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 22, 2006

    Anony wa hapo juu ni emergency poison ila ameamua kujificha. Nimegundua hawezi kuandika bila angalau kutoa tusi moja

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 22, 2006

    wala io emergency ni mimi hapa msimsingizie kwa leo sio yeye

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 23, 2006

    Mimi naomba Shose Sinare, alikuwa Miss wa kwanza nafikiri, sijamsikia habari zake siku nyingi sana.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 23, 2006

    Mie naona tutofautishe personal issues na public issues bado Hoice Temu ndiye Mrembo pekee Tz anayeweza kueleweka kwa aliyofanya kwa jamii ya KITZ. Tuache masuala binafsi kila mmoja wetu ana weakness zake anapokuwa gizani.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 23, 2006

    Ndio annoy hapo juu,umeongea point,watu humu wanafki sana,wanapenda kuwachafua wenzao tuu ndo wanaona raha.Sio fresh jamani maanoy wenzangu.Embu mezeei basi hata kama ni kweli.Huyu binti ana mchango mkubwa sana ktk jamii ya kitz.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 23, 2006

    Halafu binadamu jiangalie kwanza wewe nafsi yako unayofanya ukiwa mitaa unayojifanya upo peke yako. Suala la privacy ni tofauti kabisa na suala la kijamii. Tuangalie michango ya mtu kwenye jamii sio kuanza kuingilia masuala binafsi hayo yapo hata wewe unayejifanya kumkandia, mtu akiweka habari zako hapa tutafunga midomo, macho, masikio na pua kwa aibu. privacy ni issue nyingine kabisa bwana tuachane nayo kama mtu anaperform kwenye jamii kinachitakiwa.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 23, 2006

    Michuzi hebu baelezee bandugu kama unafahamu yuko wapi na anafanya nini sasa..?

    ReplyDelete
  25. Kinachosikitisha ni kwamba asilimia kubwa ya mamisi wetu lazima wanyoshe nywele kizungu. Hii staili imedumu kwa mabinti weusi muda mrefu sana. Sijui lini maafro na nyele za kawaida za mtu mweusi zitakuwa in

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 23, 2006

    Shose Sinare hakuwa Miss wa kwanza, wa kwanza alikuwa Aina Maeda

    ReplyDelete
  27. anony 7:27 ni kwamba hoyce temu hivi sasa yupo bongo, nimeongea nae jana na kanambia anaanda bonge la pati kusherehekea kumaliza kitabu na kurejea bongo kujenga taifa. kwa habari kamili stey tyuuunndd

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 23, 2006

    heheh maneno hayo, michuzi nasubiri.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 23, 2006

    Ha ha ha ha kweli nakubaliana na maanony mimi sasa naacha luleta mambo ya pesono humu. Lakini itaniwia vigumu kwani hawa ma miss wana turepresent ni ni pabliki figure sasa wanapofanya mambo ya aibu basi yanatugusa wote. Kama hawataki tuongelee mambo yao ya pesono basi itabidi either wasiwe ma miss au wasifanye hayo mambo ya ajabu mitaani tena nchi za watu.

    Ughaibuni hamna siri, hiyo habari iko na ni publiki na kila mtu anayeitaka anaweza kuipata.

    eneweiz mimi nitajitahidi kuacha kutoa habari pesono lakini!

    Kama Hoyce anafanya mambo mazuri na Mungu ambariki lakini asitufundishie watoto wetu mambo ya ajabu kwa jina la u miss.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 23, 2006

    Anony 3.30PM, nashukuru kwa kuongea vizuri na kuseama umeacha sasa. Na pia nashukuru kwa mchango wako kwamba ukiwa umefikia kiwango fulani kubali, Either ujieshimu kulingana na kiwango ulichofikia, au ukubaliane na yatakayo tokea. Na hilo liwe fundisho kwa wote ambao wanatutia aibu taifa letu. Vinginevyo msiwe mnajipelea huko kama mna weekneesss, make inatujumuisha watanzania wote, kama umewakilisha tanzania. Naomba kuwasilisha ushauri huwa na hekima na taadhima na kuendelea kumshukuru aliyefunga mada hapo juu.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 24, 2006

    Huyu nae mbona kajipaka vipodozi vingi sana? hebu ona huo uso na shingo vilivyo tofauti!. Aige mfano wa huyu mwenye picha chini yake.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 25, 2006

    ni kweli kabisa poison sio kama yule saida lina roho mbaya mpaka immzeesha.

    huyu roho yake clean

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 25, 2006

    huyu ukimweka na hao mabinti wa kinyasa hapo chini ndo unaona "live", urembo feki na wa asili.

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 27, 2006

    INAONEKANA MWANGA ULIKUWA MKALI ZAIDI(ANGALIA HATA NYWELE ZAONAKANA NA WEUPE KIDOGO.

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 28, 2006

    Picha hiihii ipo mwezi wa nne;kichwa cha habari Hoyce na Jackl.
    Hebu jaribu kuiangalia uone maoni yaliyotolewa huko na yaliyotolewa hapa kwa picha ileile!Ndio utagundua nini kinaendelea!

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 08, 2007

    Mbona ni picha za wazamani sana,tunazo sura ambazo hatjasahau bado akina Mbiki,Angela,Mackili,Nargis,Dotto Nusurupia kwanza yuko wapi huyu,mwambie Hashimu nataka contacts zaka.Hatujasahau wakina Faraja,Nancy,Jennipher.Pls tunataka za hawa niliowataja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...