pana nini hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    JAMAA HAJAONA HIYO SIGN INAKATAZA GARI KWENDA HUKO?BONGO!?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2006

    Ndo mambo ya bongo hayo,ajali kibao...Leseni za kununua,hukiwa na laki na kupelaka unapata leseni...Ukienda kialali mwenyewe unaweza kupata baada ya miezi sita,badala ya siku mbili tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2006

    ahaiyo gari imefika nyumbani yaani ianpaki hapo jamaa watashuka kushusha mizigo.Hajakosea kitu hapo, ila ni ukweli kwamba TZ huitaji sana kujua sheria za barabarani kuendesha gari maana kwanza barabara nyingi mbovu, mitaa haieleweki, alama zimejificha basi taabu tupu, ni Tanga na Mbeya tu mtu unaweza kujidai wakati ukiendesha, mitaa swaafi kabisa hasa TANGA, tatizo baiskeli zipo kibao.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2006

    Duh, kwanza hao jamaa ingekuwa huku ughaibuni wangekamatwa pamoja na huyo dereva wa hiyo MITSUBISHI. wATU HAWARUHUSIWI KUPANDA GARI NA KUKAA KAMA MIZIGO HUKU, NI HATARI KWA MAISHA YAO.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2006

    sasa wewe anony hapo juu unaandika nini bila kufikiria, kila nchi ina sheria zake na taratibu zake sasa siyo kila kitu tu unataka kulinganisha na ulaya, kwa hapa ni ruksa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2006

    sasa wewe anony hapo juu unaandika nini bila kufikiria, kila nchi ina sheria zake na taratibu zake sasa siyo kila kitu tu unataka kulinganisha na ulaya, kwa hapa ni ruksa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2006

    Kuendesha bongo siyo kujua sheria ni uzoefu tu huyo jamaa iyo alama hajaiona. Ni rahisi sana kufanya kosa hilo. Mimi lilisha nitokea pale wizara ya ujenzi, city centre. unakuta kibao kinachokataza kiko juu mno. Uwezi kuona. Kwa hiyo ukifika bongo jamani uzeufu kuwa hapa pako hivi, hapa kuna shimo, hapa hairuhusiwi kukata, hapa kuna taa nyekundu lakini huwa magari hayasimami ni muhimu. Zinginevyo bao.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2006

    Hiyo gari ni ya mjeshi ( zile walizopewa mikopo) na wanajeshi wako juu ya sheria hapa Tanzania, ndio maana unaona anaweza kwenda upande wowote na polisi wasimfanye kitu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2006

    Aisee kweli ni ya mjeshi maana namba za TZJ zilikuwa zaidi zao walipokopeshwa magari.Lakini hawapo juu ya sheria ila ubabe wao tu na mbaya zaidi wanawaonea sana hata traffic kwa kujifanya wao wanatoka Monduli na siyo CPP-Moshi.Ila sasa wajue mjeshi mwenzao ndiye kiranja mkuu wa nchi huko Monduli alikaa na kufundisha hivyo sasa washike sheria la sivyo watakiona. hata wakigoma ataita wanajeshi kutoka nchi nyingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...