Home
Unlabelled
sindimba orijino
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAWA NDIO WATAMADUNI,HAPO NA KAUCHAWI KIDOGO HAKAKOSEKANI,KUNA WATU WATASEMA HAKUNA UCHAWI!UONGO?
ReplyDeleteHuwezi kucheza ngoma kama hiyo kama si mchawi maana uchawi ni sehemu ya ngoma hiyo.
ReplyDeleteJAMANI AWA SI WAMAKONDE?NAONA TATOO KIBAO.
ReplyDeletenapenda uchawi mimi
ReplyDeleteLAZIMA UWASAPOTI WENZIO.MTU HAWEZI KATAA KAZI YAKE.
ReplyDeleteWe anony 1:19 am,hebu eleza vizuri,eti unapenda uhavi/uchawi-kivipi?Naweza kukusaidia kama unauhitaji.Mie nilirithishwa,lakini naona unaniletea madhara;tuwasiliane haraka nikukabidhi nataka kuwa huru!
ReplyDeleteMichuzi, unajua fika kuwa picha kama hizi zinanikuna sana (kuliko zile za ma-miss!). Safi sana.
ReplyDeletewe unayetaka kunisaidia mambo ya uchawi naweza kukupata vipi? lakini usiniambie mambo ya kuja Sumbawanga maana mbali sana.Nahitaji sana uchawi maana nataka niufanye usaidi jamii ya WATZ badala ya matumizi mabaya yaliyopo sasa.
ReplyDelete