nasalimiana na mchuma kahawa hapa brasilia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2006

    Michuzi hii pozi imeniacha hoi!Na wewe jamani mkali duh!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2006

    Jamani huko mashambani kulikoni tena michuzi? kuna mtu kasema nikuulize umempa Biznes kadi yako huyo mkulima? maana huyo halimi kwa jembe la mkono.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2006

    hhahahahahahaha jeyaaaaaaaaa!!! u know wat am saying!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2006

    Picha inavutia hiyo!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2006

    Yaani una maana "walimalizana" mashambani ndio wakaamua kupiga picha??

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2006

    Wewe Michuzi kama hujaachana na mkeo basi hakikisha haioni hio picha or else you in for trouble in the near future. YOu can't just go around n take pictures with gals expecting your wife to keep trusting you! Afterall wewe ni muandishi wa habari inabidi wewe ndio upige watu wangine picha.

    Sasa eti wewe ndio sijui unajipiga au unapigwa picha, sasa wewe ndio umekuwa JK au EL

    Keep up the good work

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2006

    Wewe anon hapo juu ni wivu na mpumbavu mno kwahiyo mtu kama mpiga picha, ina maana hastahili kupigwa picha yeye, au kupiga picha na mwanamke mpembeni..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2006

    MICHUZI,MBONA HUYI DADA ANASHUSHA SURUALI?WAWILI TU!KAMERA ULIWEKA KWENYE KISIMAMIO?WE!MICHUZI WEWE!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2006

    nyie wana mna mambo.mnanikumbusha jirani yangu mzee ruksa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2006

    michuzi sasa huu ni uchokozi unajua kabisaa ukiweka picha kama hii tutasema nini ha ha ha ha ha ha ha michuzi lakini sasa stress zimetoka katika kichwa chako ukichoka tu mzee unafungua blog lako unachekaaaaaa!!!! lakini michuzi si mtu wa mbeya suala la kumalizana mashambani halina shida kabisa anatumia uzoefu tuu

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 16, 2006

    zemarcopolo umenikumbushia zamani wakati nikiwa shule form two na three wakati nikirudi likizo kwenye mikahawa ya uchagani.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 16, 2006

    I.M kutukana wenzio wako wapumbavu inaonesha wewe ni kiasi gani ni uncivil.

    kama ungekuwa civil enough kama unajitahidi kuonesha basi ungeweza kuandika maoni yako bila kutukana na point zako bado zikawa powerful like no other!

    Hopefully utaacha holiganism behaviour next taimu ukiandika maoni yako

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 17, 2006

    zemarcopolo umeniacha hoi na huo msemo wa kukazana. Manake umenikumbusha wakati fulani hivi mwenyekiti wa CCM mkoa wa DAR Mzee Ramadhani nani sijui alikuja shuleni kwetu Tambaza Sec miaka ya 80 wakati huo ni shule ya wavulana tu, basi alipokuwa anatoa hotuba akawa anasisitiza ushirikiano baina ya wanafunzi kwa wanafunzi na wanafunzi na walimu na maneno aliyosema ni kwama WALIMU WENU WANAKAZANA lakini NYIE HAMKAZANI Huku akishangaliwa kwa nguvu, sidhani kama yeye alijua wanafunzi walikuwa wanashanglia nini nazani alifikiri wanashangilia hotuba yake.

    Kana kwamba hiyo haitoshi akato mpya nyingine ambayo ilikuwa kw anjia ya swali kwa wanafunzi aksema " JAMANI UKUNI NA UKUNI?" Wanafunzi basi si kushangilia huko na kuvunjika mbavu

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 17, 2006

    zemarco! wanakazana mikahawani doh!

    ReplyDelete
  15. ni kweli brazil wanakazana sana kwenye kilimo na ufugaji. hivi sasa wanafanya utafiti ili kuwa na aina sita za kahawa na si braziliani kofii pekee kama ilivyo sasa. pia wanafuga ng`ombe wa nyama na maziwa kwa wingi sana tena kwa kutumia teknolojia ya kisasa lakini rahisi na nafuu ambayo ni saizi yetu.

    hakika nawaonea wivu sana kwa kukazana kwao (kwenye kilimo na ufugaji) na wanasthili kuigwa!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 17, 2006

    michuzi kumbe na wewe umedata teh teh teh

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 17, 2006

    michuzi nimejaribu kukuza hii picha mikahawa imeshikana sana jamani mhh....hata pande ya pili haionekani.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 17, 2006

    Kwenye Jografia si mmesoma kilimo cha Buni Brasil? Ndicho hicho!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 17, 2006

    Zemarcopolo na Grill huwa mnanichekesha sana jamani.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 17, 2006

    huyo aliyendika kuhusu tambaza hapo juu kama sikosei sasa hivi ni daktari wa akina mama sehemu fulani ughaibuni.

    ReplyDelete
  21. inabidi nicheke tu hehehehe maana mikahawa yetu ilivyokuwa mifupi hata tukikazana kutwa nzima hatuwezi kuzalisha sana kama wenzetu halafu mikahawa yetu ni michache kwa sababu inapandwa katikati ya migomba kutafuta kivuli

    ReplyDelete
  22. Michuzi tafadhali kua makini na ndoa yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...