Home
Unlabelled
mchuma kahawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hii pozi imeniacha hoi!Na wewe jamani mkali duh!
ReplyDeleteJamani huko mashambani kulikoni tena michuzi? kuna mtu kasema nikuulize umempa Biznes kadi yako huyo mkulima? maana huyo halimi kwa jembe la mkono.
ReplyDeletehhahahahahahaha jeyaaaaaaaaa!!! u know wat am saying!!
ReplyDeletePicha inavutia hiyo!!!
ReplyDeleteYaani una maana "walimalizana" mashambani ndio wakaamua kupiga picha??
ReplyDeleteWewe Michuzi kama hujaachana na mkeo basi hakikisha haioni hio picha or else you in for trouble in the near future. YOu can't just go around n take pictures with gals expecting your wife to keep trusting you! Afterall wewe ni muandishi wa habari inabidi wewe ndio upige watu wangine picha.
ReplyDeleteSasa eti wewe ndio sijui unajipiga au unapigwa picha, sasa wewe ndio umekuwa JK au EL
Keep up the good work
Wewe anon hapo juu ni wivu na mpumbavu mno kwahiyo mtu kama mpiga picha, ina maana hastahili kupigwa picha yeye, au kupiga picha na mwanamke mpembeni..
ReplyDeleteMICHUZI,MBONA HUYI DADA ANASHUSHA SURUALI?WAWILI TU!KAMERA ULIWEKA KWENYE KISIMAMIO?WE!MICHUZI WEWE!
ReplyDeletenyie wana mna mambo.mnanikumbusha jirani yangu mzee ruksa.
ReplyDeletemichuzi sasa huu ni uchokozi unajua kabisaa ukiweka picha kama hii tutasema nini ha ha ha ha ha ha ha michuzi lakini sasa stress zimetoka katika kichwa chako ukichoka tu mzee unafungua blog lako unachekaaaaaa!!!! lakini michuzi si mtu wa mbeya suala la kumalizana mashambani halina shida kabisa anatumia uzoefu tuu
ReplyDeletezemarcopolo umenikumbushia zamani wakati nikiwa shule form two na three wakati nikirudi likizo kwenye mikahawa ya uchagani.
ReplyDeleteI.M kutukana wenzio wako wapumbavu inaonesha wewe ni kiasi gani ni uncivil.
ReplyDeletekama ungekuwa civil enough kama unajitahidi kuonesha basi ungeweza kuandika maoni yako bila kutukana na point zako bado zikawa powerful like no other!
Hopefully utaacha holiganism behaviour next taimu ukiandika maoni yako
zemarcopolo umeniacha hoi na huo msemo wa kukazana. Manake umenikumbusha wakati fulani hivi mwenyekiti wa CCM mkoa wa DAR Mzee Ramadhani nani sijui alikuja shuleni kwetu Tambaza Sec miaka ya 80 wakati huo ni shule ya wavulana tu, basi alipokuwa anatoa hotuba akawa anasisitiza ushirikiano baina ya wanafunzi kwa wanafunzi na wanafunzi na walimu na maneno aliyosema ni kwama WALIMU WENU WANAKAZANA lakini NYIE HAMKAZANI Huku akishangaliwa kwa nguvu, sidhani kama yeye alijua wanafunzi walikuwa wanashanglia nini nazani alifikiri wanashangilia hotuba yake.
ReplyDeleteKana kwamba hiyo haitoshi akato mpya nyingine ambayo ilikuwa kw anjia ya swali kwa wanafunzi aksema " JAMANI UKUNI NA UKUNI?" Wanafunzi basi si kushangilia huko na kuvunjika mbavu
zemarco! wanakazana mikahawani doh!
ReplyDeleteni kweli brazil wanakazana sana kwenye kilimo na ufugaji. hivi sasa wanafanya utafiti ili kuwa na aina sita za kahawa na si braziliani kofii pekee kama ilivyo sasa. pia wanafuga ng`ombe wa nyama na maziwa kwa wingi sana tena kwa kutumia teknolojia ya kisasa lakini rahisi na nafuu ambayo ni saizi yetu.
ReplyDeletehakika nawaonea wivu sana kwa kukazana kwao (kwenye kilimo na ufugaji) na wanasthili kuigwa!
michuzi kumbe na wewe umedata teh teh teh
ReplyDeletemichuzi nimejaribu kukuza hii picha mikahawa imeshikana sana jamani mhh....hata pande ya pili haionekani.
ReplyDeleteKwenye Jografia si mmesoma kilimo cha Buni Brasil? Ndicho hicho!
ReplyDeleteZemarcopolo na Grill huwa mnanichekesha sana jamani.
ReplyDeletehuyo aliyendika kuhusu tambaza hapo juu kama sikosei sasa hivi ni daktari wa akina mama sehemu fulani ughaibuni.
ReplyDeleteinabidi nicheke tu hehehehe maana mikahawa yetu ilivyokuwa mifupi hata tukikazana kutwa nzima hatuwezi kuzalisha sana kama wenzetu halafu mikahawa yetu ni michache kwa sababu inapandwa katikati ya migomba kutafuta kivuli
ReplyDeleteMichuzi tafadhali kua makini na ndoa yako
ReplyDelete