Home
Unlabelled
miss upanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hii rangi ya sasa umepatia. Blogu inapendeza kwelikweli siyo ile rangi nyeusi ilikuwa noma kweli. Aisee upanga hawana chao kama tano bora zao ndiyo hizo. Vinginevyo majaji wakiwabeba tutaishia kupata miss kama Faraja Kota
ReplyDeletekweli kabisa mshkaji kumbe wewe uliona faraja bomu demu havutii hata kidogo. lakini kuhusu rangi ya blog ile nyeusi ilikuwa bomba sana, hii ya pink rangi ya kibarbiebarbie, nyeusi ilikuwa bomba sana.
ReplyDeleteMICHUZI ,MIE NAPENDA KUZOOM PICHA,USINISAHAU!
ReplyDeletehii background inaendana na baadhi ya picha kama hii, lakini kwa picha kama za kwetu uswahilini tukichimba vyoo inakuwa haviendani kidogo.
ReplyDeleteMichuzi, mimi naona uweke tu nyeupe umalizane na haya maoni. Professional websites zote zina background nyeupe.
You have to create your own thing and not because other people they have certain features on their websites and you take from there.
ReplyDeleteWe need to learn to appreciate on everything and not just to find excuses on other people creativity.
If you want to be the best you need to come out with unique things that contain your own unique features and you will be the best.
Bravo Mr. Michuzi this blog is the best of the best and everything is on right direction.
wewe anony 10:56 ndio anza kutengeneza blogu yako. Kiingereza chenyewe hujui halafu unajidai kuandika kwenye blogu hii kwa kiingereza wakati watu wote humu wanachangia kwa kiswahili. Ungekuwa unathamini cha kwako mwenyewe bila shaka ungeanza na Kiswahili. Siyo kuanza kutuletea porojo hapa ati yuniki au ndio kujifanya yuniki kwa kuandika Kiingereza kwenye blogu ya Kiswahili. Nyambaf
ReplyDeletenakubaliana na wewe anony 7:56,huyo anony wa kimombo anaboa,kimombo chenyewe hovyo.Anatuharibia blog yetu.
ReplyDeletemnajua kutoa kasoro za watu tu sijui wabongo mtajifunza lini kueshimu maoni ya kila mtu. kama kiingereza hajui nyie kina wawasha nini.jalibu kueshimu kila mtu.mzee endelea kupiga ngeli hamna kosa lolote katika kiingereza chako.
ReplyDeleteAnony wa 10:47am usijifanye kuja kwa gia ya kutetea wakati ndio wewe uliyeandika hapo hapo juu kwa Kiingerza.Kitu kimoja kizuri ni kwamba umejifunza na ukaamua kuandika kwa Kiswahili.
ReplyDeletepumbaf weye mimi nimetoa ushauri wangu na sio niliye andika hiko kimombo. wewe na kiingereza chako unacho jifanya unajua niambie ni wapi huyu bi/bw. amekosea? mnajifanya mnajua kiingereza wakati ni watanzania. kiingereza cha ndani na sahii anajua muingereza. Huyo anonymous hajakosea chochote na kama amekosea toa kasoro wapi amekosea. Kwa taharifa yenu yupo sahii.
ReplyDeleteWewe anony hapo kama unajifanya kujishebedua kuwa wewe unatetea tu mi nakwambia tena ni wewe na Kiingereza hujui period. Angalia sentensi hii kwenye maoni yako ya kimombo feki; "...not because other people they have certain features..." Kwa sababu hujui hiyo lugha tafuta mtu anayejua umulize tatizo nini hapo. Kama utaendelea kubisha comment hapo chini nikueleze tatizo la Kiingereza chako. Si ulitaka makosa ndio ujue kuwa tulikuwa sahihi kukueleza umombo huujui andika tu kwa kiswahili ndugu.
ReplyDeleteSafi, wewe anony wa kimombo feki umeamua kuingia mitini, sikuoni tena kutetea hicho kimombo cha hovyo. Sasa ni wazi utaandika kwa kiswahili maana ung'geng'e wako ni mbovu mno. Pale juu ni sentensi ya mwisho tu ndio yenye afadhali zingine ni hovyo kabisa. Wewe na wenzio mnaotuletea za kuleta mtajifunza, siyo kubandika tu maneno ya Kiingereza na kujidai mnaandika Kiingereza. Andika tena kwenye mada nyingine nikushushie rungu langu, Nyambaff!
ReplyDelete