Home
Unlabelled
miss upanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa mademu wote sijaona bomba hata mmoja
ReplyDeletesasa we unategemea kuona demu bomba upanga?kule si wamejaa wanyakyusa tu,akina AY,GK,na dada zao....huwezi kuta mzuri kule hata siku moja...
ReplyDeleteUpanaga mbali ya kuwa na wanyakyusa wengi, vile vile kuna WAHINDI wengi, mbona hawajitokezi kupigania miss Upanga!! Au ndo zile zao kutubagua ndani ya nchi yetu?? Reved. EVM
ReplyDeleteyap, tungejaribu kupeleka muhindi kwenye mashindano ya dunia labda tungeshinda.....wangesahau kwamba ametoka tz, au labda ingekuwa shock ya mashindano (free publicity)!
ReplyDeleteJamani madhumuni ya Miss Upanga, Miss Tabata, Temeke n.k ya nini jamani? Kwa nini tunapoteza muda, na pesa katika maonyesho ya urembo wakati hatuna vyakula, hatuna shule nzuri, watoto wanakaa chini mashuleni, hatuna chochote people?
ReplyDeletePlease Michuzi, put some usefull photos we can debate on your blog. I know your studio is a big player on these fashion shows, but lets be realistic here these girls are gonna end up nowhere.
wewe michuzi mbona unanichanganya hapo Jenerali anampongeza miss Upanga 2006 mwaka jana usiku..????
ReplyDelete