Home
Unlabelled
miss zenj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Oyaa Michuzi, unajua mjomba hizi teknolojia tuzitumie kwa manufaa ya kweli sio kufurahisha na anasa zisizo na mpango. Mjomba hii blogu yako imejaa picha za mademu we vipi mjomba??? Bongo na Afrika nzima bado kuna mengi sana ya kuyamulika na kujadili sasa mjomba naona wewe unaweka wanawake tu kwenye hii blogu yako utafikiri waafrika tushafika wakati wa kula kuku kwa mrija mbona unapotosha mjomba??!! Na mie nimepita kwenye Blog za akina Ndesajo na wengine naona kuna watu wanajitahidi sana kutumia njia hii kufanya watu wajiulize maswali na kutoa usongo wa kimaendeleo. Ila unajua picha zina nguvu sana sasa huyu mjomba Michuzi atumie njia hii pia kutoa changamoto za akili na kimaendeleo sio kuleta picha ma wanawake tuuuuuuuuuu we vipi mjomba Michuzi??!!!
ReplyDeleteElimisha watu sio kuwapotosha na picha za mapaja tu!!! Sasa jibaba jirekebishe au kama vipi sema basi hii blog yako ni ya waonyesha mavazi tujue. Wengine tuliposikia blog ya Michuzi tukajua du yule mjomba mwenye jina kubwa Bongo lazima atakuwa na la maana sana kuonyesha sasa hii kuleta picha za madem unapotosha mjomba.
Michuzi,
ReplyDeleteSisi tusiokuwa na interest na umiss turudi kwenye hii blog yako lini utakapokuwa umemaliza hayo ya umiss. Tuhabarishe tafadhali kuwa utamaliza umiss lini?
Gomigo,
ReplyDeleteumelazimishwa kuingia humu?
NDIO,BWANA GOMIGO,MUHABARISHE HUYO ANONY,HAJALAZIMISHWA KUINGIA HUMU.WATU WENGINE KWA CHOKOCHOKO.
ReplyDeletemichuzi usisikilize upuzi huo weka vitu wengi tunapenda hii ni bonge la BLOG ,keep it up ,Hakim
ReplyDelete