miss zanzibar wa kwanza hediye khamis musa (kati) akitamba na wenzie januari 13, 1968 baada ya mashindano hayo yaloandaliwa na chama cha hockey cha visiwani na kufana sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    Oyaa Michuzi, unajua mjomba hizi teknolojia tuzitumie kwa manufaa ya kweli sio kufurahisha na anasa zisizo na mpango. Mjomba hii blogu yako imejaa picha za mademu we vipi mjomba??? Bongo na Afrika nzima bado kuna mengi sana ya kuyamulika na kujadili sasa mjomba naona wewe unaweka wanawake tu kwenye hii blogu yako utafikiri waafrika tushafika wakati wa kula kuku kwa mrija mbona unapotosha mjomba??!! Na mie nimepita kwenye Blog za akina Ndesajo na wengine naona kuna watu wanajitahidi sana kutumia njia hii kufanya watu wajiulize maswali na kutoa usongo wa kimaendeleo. Ila unajua picha zina nguvu sana sasa huyu mjomba Michuzi atumie njia hii pia kutoa changamoto za akili na kimaendeleo sio kuleta picha ma wanawake tuuuuuuuuuu we vipi mjomba Michuzi??!!!
    Elimisha watu sio kuwapotosha na picha za mapaja tu!!! Sasa jibaba jirekebishe au kama vipi sema basi hii blog yako ni ya waonyesha mavazi tujue. Wengine tuliposikia blog ya Michuzi tukajua du yule mjomba mwenye jina kubwa Bongo lazima atakuwa na la maana sana kuonyesha sasa hii kuleta picha za madem unapotosha mjomba.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2006

    Michuzi,
    Sisi tusiokuwa na interest na umiss turudi kwenye hii blog yako lini utakapokuwa umemaliza hayo ya umiss. Tuhabarishe tafadhali kuwa utamaliza umiss lini?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2006

    Gomigo,

    umelazimishwa kuingia humu?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2006

    NDIO,BWANA GOMIGO,MUHABARISHE HUYO ANONY,HAJALAZIMISHWA KUINGIA HUMU.WATU WENGINE KWA CHOKOCHOKO.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2006

    michuzi usisikilize upuzi huo weka vitu wengi tunapenda hii ni bonge la BLOG ,keep it up ,Hakim

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...