Home
Unlabelled
moro united hureeee!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimefurahi kwamba kombe limebaki nyumbani lakini inaniuma kwamba Yanga Afrika walitolewa mapema.Mimi Yanga damu kama kina Jeff Msangi na Mwaipopo.
ReplyDeletekunradhi. sahihisho: ni kwamba moro unite wameifunga apr ya rwanda kuingia fainali za kombe la kagame. watacheza jumapili na polisi ya uganda kuamua nani zaidi. samahani kwa kupitiwa
ReplyDeleteSAFI SANA,LILE WAZO LA SIMBA TU,YANGA TU!LINATAKIWA LIPOTEE KABISA TANZANIA.LAZIMA KUWA NA VIJOGOO VYA SHAMBA KUWIKA MJINI!SASA ISIWE NGUVU YA SODA,WAHAKIKISHE MASLAHI YA WACHEZAJI YANAKUWA MBELE NA KUWAJALI ILI WASIENDE SIMBA WALA YANGA!BRAVOOOOO!
ReplyDelete