charles boniface mkwasa kocha wa moro united akiwa amebebwe kidedea. leo moro united wameidungua apr ya rwanda 3-0 neshno na kutwaa ubingwa wa kagame kapu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2006

    Nimefurahi kwamba kombe limebaki nyumbani lakini inaniuma kwamba Yanga Afrika walitolewa mapema.Mimi Yanga damu kama kina Jeff Msangi na Mwaipopo.

    ReplyDelete
  2. kunradhi. sahihisho: ni kwamba moro unite wameifunga apr ya rwanda kuingia fainali za kombe la kagame. watacheza jumapili na polisi ya uganda kuamua nani zaidi. samahani kwa kupitiwa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2006

    SAFI SANA,LILE WAZO LA SIMBA TU,YANGA TU!LINATAKIWA LIPOTEE KABISA TANZANIA.LAZIMA KUWA NA VIJOGOO VYA SHAMBA KUWIKA MJINI!SASA ISIWE NGUVU YA SODA,WAHAKIKISHE MASLAHI YA WACHEZAJI YANAKUWA MBELE NA KUWAJALI ILI WASIENDE SIMBA WALA YANGA!BRAVOOOOO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...