wakati naelekea kupanda daladala niende homu, habari zimenifikia kwamba nancy sumary kaula tena. kama mjuavyo, inglishi mie is noti richebo, hivyo naibandika kama nilivyoipata. mtimkubwa nisaidie kutafsiri..

Nancy bags yet another bingo

Tanzania’s beauty queen and Miss World Africa Nancy Sumary continued her dominance in world rankings after she was announced overall winner of the eighth edition of the Global Beauties Awards Bureau.
The Global Beauties Awards, also known as the 'Oscars' of beauty pageants, have reviwed the four most prestigious beauty pageants on the planet, and members of the Global Beauties Academy voted for the best in several categories, giving away 10 global and 66 continental awards.
Over 300 beauties who competed in Miss Earth, Miss International, Miss Universe and Miss World 2005 had the chance to shine all over again or to finally have their qualities recognized.
Nancy was one of the top five girls in last year’s top 100 beauties survey conducted by the bureau which was announced yesterday, according to a statement issued yesterday.
The awards analysed each of the 310 international beauties who competed in four grand slam pageants namely Miss Earth, Miss International, Miss Universe and Miss World where Nancy competed.
Nancy was placed in ten categories that were up for grabs under the Eighth Global beauties awards.
Nancy took the first positions in Personality, Interview and Stage Presence and finished second in Evening Gown, Face and third in Photogenic, Swimsuit to be the overall winner.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    hii habari sio sahihi,tembelea website hapo chini:
    http://www.globalbeauties.com/

    Kutokana na habari kutoka website yao africa hatujashinda kwenye overall awards.Na kwa Afica mshindi overall ni Claudia Henkel ambaye alikuwa Miss universe(South Africa).

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    Nancy was the second overall for Africa continent. However, she came the first in a number of categories. Congratulations Nancy

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2006

    Mbona miss utalii ya Gideon Chips haimo katika mashindano ya walimbwende yanayotambulika kimataifa au ndio ina jina jingine? Au ni kijishindano cha uchochoroni ambacho hata Rais aliingizwa mkenge na kuanza kuwakaribisha miss vitongoji hao Ikulu?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2006

    miss utalii site yao ni hii:
    http://www.misstourismworld.com/

    ReplyDelete
  5. asante kwa michango yenu wote. kama nilivyosema niliipata nikiwa natoka, hivyo sikukaa chini na kuangalia kiyakinifu. anony wa kwanza u sahihi, na wa pili umepatia. kunradhi kwa yote

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2006

    Muhidin,

    Miye pia Inglish iz not richibo. Kuna dada mmoja kanipa kazi ya kutafsiri toka Kiingereza kwenda Kiswahili abstract ya Phd thesis yake mpaka sasa ni wiki ya tatu nahangaika na kurasa nane!

    Inanibidi niachie hapa nimeingiliwa na wageni,
    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2006

    hongera nancy naona watu wanawa-andama kama mwezi wa ramadhani.wewe ni mzuri ndio maana ukaweza kuwa miss africa hongera.

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Nancy! Kwa kweli Mungu azidi kumbariki na azidi kuletea nchi yetu Tanzania Sifa.

    Lakini mbona kwenye hii picha anaonekana kama kakonda mno! Yaani karibu anakuwa mifupa na ngozi na hakuwa hivyo alivyoshinda! Naomba asiingie kwenye mtego wa anorexia na bulimia, ni rahisi sana kwa hao beauty contestants na wasanii kuingia kwenye mtego huo.

    Zaidi ya hayo naomba Nancy aendelee na kazi nzuri anayo fanya ya kuwakilishi Tanzania katika mashindano ya urembo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...