leo rais wa zanzibar amani karume kala kiapo mbele ya jaji mkuu barnabas samatta ili kuchukua nafasi yake kwenye baraza la mawaziri kwa mujibu wa katiba. kabla ya hapo rais wa zanzibar alikuwa pia makamu wa kwanza wa rais na alikula kiapo kama hicho mbele ya rais kama ambavyo wazee wetu wapendwa wanaonekana wakifanya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    Kaka Michuzi hapa umechapia kidogo unatuambia Jaji Samatta akimwapisha Hayati Sheikh Abeid Amaan Karume duuh huyu bwana enzi hizo alikuwa shule ya Sekondari bado kijana mdogo

    ReplyDelete
  2. anony soma vizuri jina la rais wa zanzibar niliemtaja. asante kwa mawazo na uchangiaji

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2006

    Kaka michuzi kama ni hivyo basi hiyo picha umeikosea au badili maneno ili yaendane na picha iliyopo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2006

    WE ABDIAWAMO,HEBU SOMA TENA KAMA MARA MIA MOJA ILI UELEWE.
    HAPO KILA KITU KIPO FIT!
    UNAAMBIWA LEO KARUME AMEAPA(SIO PICHA HII)ILA INAFANANISHWA NA YALIYOTOKEA ZAMANI ZA KALE KATIKA PICHA HII.(PICHA YA KIAPO CHA KARUME MTOTO IPO,WE ENDELEA KUBLOGU UTAIONA.TCHAO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...