Home
Unlabelled
neshno mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana hii ni bab kubwa, sasa magari tutakuwa tunaegesha wapi?
ReplyDeletepakingi ipo mbele ya jengo ambalo liko karibu na jkt mgulani. itakuwa na uwezo wa kupaki magari zaidi ya 3,000
ReplyDeleteMICHUZI SASA UNAONA UMUHIMU WA HIHI BLOGU?
ReplyDeleteINATUFARIJI BWANA,TUNAJIONA TUPO HOMU KABISA!
aaaaaaaaaah waleta raha
ReplyDeleteHilo kweli jiwanja. Inatakiwa sasa klabu kubwa za Simba na Yanga wajenge viwanja vyao vya soka. Kwenda kuangalia mpira kiwanja kama hiki chenye running track huwezi hata kuwatambua wachezaji maana wanakuwa wadogo kama vipanya. Tatizo vizee vya Kiswahili vimeng'ang'ania timu hizo huku havina mchango wowote.
ReplyDeleteNi kweli kabisa 2:58 PM. Huu uwanja uachiwe mechi kubwa za timu ya taifa au za regional zikija TZ. Mambo ya Yanga anacheza na lipuli kuchezwa lijiwanja kama hili hayalipi. Mpondela alitaka kufanya mambo wacha baroka zianze kutembea jangwani, yanga 'tungekuwa' mbali sasa hivi.
ReplyDeletewachina si mchezo, nilikuwa namsoma mwanamke wa kichina aliyedesign vietnam veterans memorial huko dc. I wonder kama wachoraji wetu wale wa chuo cha ardhi kama wanahusishwa na ujenzi huu....na kama huu ni mkopo na kama ni interest-free kama ule wa tazara.
ReplyDeletekwenye hii picha ya chini (IVO) kinachoonekana kwa nyuma ndio ujenzi wa huo uwanja mpya,utakuwa na uwezo wa kuingiza watu 60,000 wakati ule wa zamani ulikuwa unatanuka kadri watu wanavyoongezeka, humu hamna tena kuingiza vifaru vya jeshi siku ya mashujaa, hapa ni mpira na michezo mingine tu!
ReplyDeleteASANNTE MICHUZI!
ReplyDeletemichuzi naomba ukiweza utupatie japo picha mbili, tatu za karibu kabisa na huo uwanja, kwani natamani kujua unlipofikia.
kwahiyo mambo ya kuruka ukuta ya akina jeffu msani kutakua hakuna tena,wasio na kiingilio wataishia kusikia kelel za washangiliaji ila kuona hawataona kitu na kweli sii utani hilo wanja kama la mabingwa wa catalan, Barcelona?!!
ASANTE KIKWETE KUTULETEA UWANJA!
ReplyDeletejk HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEE
e bwana kama kweli huu ndio uwanja babu kubwa maanake hata san siro haoni ndani
ReplyDeletehakuna tena kukojoa uwanjani, au kuingia na vidaladala 50 kwa kuwa kamati ya utendaji imesema....huu uwanja ina maana kwamba wale wazee wa zanzibar na bagamoyo itabidi watafute njia ya kuupgrade vyombo vyao. Otherwise inabidi tuanticipate matatizo kwa kuweka fines kubwa kwa mambo kama hayo yakitokea.
ReplyDeleteYou guys are just sick! Hata uwanja mnaona JK ameuleta. Hivi huyu JK amewapa nini watanzania? Why you guys don't give any creit to Benja? Just thank you is enough badala ya kuamishia ujiko wote kwa JK. You guys are just sick, you don't know even what you want and what you are getting.
ReplyDeleteAnony sam,
ReplyDeleteUkiondoa tu kiswangilish chako maoni yako ni mia kwa mia. Kila kitu Kikwete tuuuuu hata yasiyokuwa yake. Huu uwanja ni ahadi ya Mkapa na juhudi zake sijui huyo anony anayesema hureee Kikwete anaishi sayari gani. Binafsi sikubaliani na mambo mengi ya Mkapa lakini haiwezi kuwa sababu ya mambo aliyofanya kuyahamishia kwa Kikwete. Kikwete kakuta kila kitu kilishasainiwa na fedha imeshamwagwa sasa nini kutuziba masikio na sifa asizostahili? Magazeti (ippmedia)yamewapumbaza watanzania kuhusu huyu Kikwete
'Filbert Bayi National Stadium'
ReplyDeleteMsishangae wengi JK ni shemeji yao kwa hiyo watatafutatafuta vinjia vya kumsifia. Tusiwe mafala Jk ameingiamadarakani hata miezi kumi haijafika hayo mamboya uwanja kayatolea wapi. Nadhani sasa ni wakati wa kumshukuru ndugu Benja kwa yote aliyoyafanya. Ndio Rais pekee aliyeweza kuiweka Tanzania katika nafasi zuri kiuchumi.Ni yeye aliyefanya haya mageuzi yoteya uwekezaji hadi leo hata nyie run awaya kids mnaweza mkasemangoja nirudi Bongo kuna mishaharamizuri. Bila kusahau hivi mnajua Wakazi wa kusini Wame lilia Daraja kwa miaka mingapi? Je na hilokajenga kikwete?? Haitoshi na ndio maana mzee Ben akaamua kuita kila kitu kwa jina lake "BenMkapa Bridge" BenMkapa National Stadium" ilimsimsahau. Maana mashemeji hamkawii kuita hata hivyo vitu vyoote " JK National Stadium". Huwa si mkereketwa wa kuandika lakini kwa hiliimenibidi. Watanzanie tuanze kuwa na shukurani. Au wazungu wanasema "To be honesty". Esp to Ben. He is the Gretest!!! Hureee Ben hatutakusahau!!
ReplyDeleteAnony wa mwisho hapo ulianza vizuri lakini mwishoni umeharibu. Ni kweli uwanja huo ni juhudi za Mkapa lakini daraja la Rufiji siye. Mkataba na Wakuwait walofadhili ujenzi huo ulitiwa saini siku nyingi wakati wa mzee Rukhsa na Mkapa kakuta limeshaanza kujengwa. Mkapa barabara tu ya kusini imemshinda kumaliza kwa miaka kumi. Pia mshahara mzuri unaosema ni upi? elfu sitini na tano? Mkapa alikuwa korapti vibaya mno na huo uwekezaji wake ni uupuzi mtupu zaidi ya watu fulani kujinufaisha binafsi.
ReplyDeletekweli tupu....mkapa amesaidia mambo ya kawaida siyo mahitaji muhimu. mambo ambayo wabongo wengi wamekuwa wakisononeka kila siku. kuhusu Jk mimi sijui ila nasikia kuwa kuna matumaini sasa tumpe nafasi na sapoti...kitu cha kutia moyo ni kwamba anawashusisha wananchi kwenye mitazamo yake siyo kama wengine ambao walikuwa wamehamia ikulu na kuacha wabongo wengi kama siyo wote nje. utasamehe vipi kodi kwa investaz fo fivu eazi...:) na hao investaz hata siyo wabongo...?????????? haya ni maoni yangu tu.
ReplyDeleteAnony at 7:07 nimekuelewa lakini mishahara ninayozungumzia si hiyo ya serikali. Ni ile ya wawekezaji. Nasikia siku hizi vijana kuvuta vi Millioni si hatari tena kwa mwezi. Je yalikuwepo hayoenzi hizo? Au hujafuatilia skendo ya Bandari watu wanakula mshahara mpaka millioni nne kwa mwezi. Sasa hapo babu tusemaje??
ReplyDelete