nyumba ya sanaa inavyoonekana kwa ndani hivi sasa ambako kuna sanaa pub

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2006

    Michuzi nilipita hapo februari nikiwa na familia yangu toka ughaibuni tukashangazwa na hali tuliyoikuta ukilinganisha na miaka iliyopita[restaurant na bustani safi ndani],kama hivi sasa wamekarabati basi mwaka kesho tutapitia tena labda na kutanua kidogo hali tuikuta ni ya kuridhisha.Ila waondoe wale wamasai feki pale nje wanaboa kweli!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2006

    Hapo pametulia sana kwa kupata moja bnaridi moja moto karibu tena anony hapo juu nyumbani ni nyumbani tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...