Home
Unlabelled
wanaumeeeee!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani hawa ni wajamaika wapiga regge,sasa sijui tuwaweke kwenye bongo flava au get up stand up
ReplyDeletejamaa wako wengi hawa halafu wanakula hao kama unabisha nenda kwenye chimbo lao nyuma ya uwanja wa taifa (indoor)karibu ya walichotaka kukifanya kijiji cha michezo, halafu huyu KR mullah huwa hapigi mswaki meno ya njanooo kama kapaka binzari
ReplyDeleteNaomba kuuliza ili uwe kwenye hili kundi la wanaume lazima uwe raster au? Mheshimiwa Temba ni upi kati ya hao wanaonekana pichani.
ReplyDeletehawa jamaa nawakubali.,ujumbe wao kuhusu maisha ya uswahilini na ya mlalahoi wa TZ wapendeza.,utakugsa hata kama ni watokea obay.,nafuata/penda messege yao but si lazima nifate matendo,.,.
ReplyDeleteanony 10:02 - mh. temba ni wa pili kushoto, na mwenye kivalio kichwani ni necha mwenyewe
ReplyDeleteHawa vijana hatari sana yani wanfanya mambo kwenye Bongo flava mpaka raha, na ni wabunifu si mnaona ile style yao ya kucheza kali kishenzi ndio wako kwenye chati sasa....
ReplyDeleteWanakuambia si ulipenda Chai chai iweje unalalamika unaunguaaaaa!!!!!Wakati wa kufanya Ngono ahaa safi ila sasa likishakukumba LIKIDATU malalamiko kibao oOOh mara wananinyanyapaa mara nini.
ReplyDelete