uwanja wa taifa unavyoonekana kutoka angani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2006

    Michuzi, mimi hivo vijibanda tu ndio vinanikera...jamani mji hauna plan huu kabisa..utadhani sijui vitu gani mabati yamezidi bongo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2006

    Ndio maana yake, Plan huwezi kupata hata ukienda kwenye halmashauri za miji ya kibongo.....

    ReplyDelete
  3. We unaonekana mtagaluka kweli, hili ni eneo la uwanja wa taifa, chang'ombe na temeke kwa taarifa yako hizi ni moja kati ya sehemu za uswahilini zilizopimwa kitambo pamoja na ilala, kinondoni, magomeni na kwingineko na kuna mitaa iliyokaa kwa ramani inayoeleweka we inaonekana unatokea sigimbi ndio maana hili jiji hulijui vema

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2006

    rhxoqsa naona hapo utakuwa umekurupuka tu kuandika, hata kama zilipimwa long kitambo huwezi kupata hizo ramani na kama zipo kwanini watu wanaachiwa kujenga ovyo ovyo...?

    ReplyDelete
  5. Enzi za nyerere utajenga bila ramani na vibali utaweza wapi? na hapo lazima wajue hizo hela umepataje mpaka unajenga nyumba lasivyo utaitwa mhujumu uchumi na vitu vyako vinataifiswa,nenda mipango miji uone ramani na documents zote lakini usicheke maana haziko kwenye computer bali ni kwenye shelf na vumbi kibao, nahapo usipohonga fail halionekani mwaka, enzi hizo huwezi kujenga mpaka uwe na hati ya kiwanja,ramani iliyopitiswa na manispaa (enzi hizo) building permit,contactors agreement,quantity survey na karatasi kibao za usalama wa taifa

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2006

    ANONY WA JUU UNASEMA VUMBI TUU NILIENDA ARDHI MG NIKAOMBA FILE LANGU HUWEZI AMINI WAKAANZA KULITAFUTA HALIONEKANI SASA KILICHONISIKITISHA ZAIDI WAKATI MTU ANAENDELEA KUTAFUTA KUFOKONYOA KTK TI YA MAVUMBI KIBAO AKASHTUKA KUONA KUMBE KWENYE ENEO LA DIRISHA AMBAKO KABATI LIMEEGEMEA DIRISHA LIKO WAZI KABISAA YAANI KWA MAANA YA KWAMBA INAWEZEKANA KUNA WATU WANAJISEVIA TU KUTOKA KWA DIRISHA HILO YAANI HAPO TU NIKASEMA BASI TUMEKISHWA JAMANI NA SERIKALI YETU HII SI JAMBNO LA KUCHEKESHA NI LAKUSIKITISHA SANAA.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 30, 2006

    Mr. Michuzi, kwa kweli uwanja unaonekana mzuri saana.Sasa najaribu kuangalia kama kuna eneo la Parking hapo.
    Au ndio itabidi tukaache magari DSA?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 30, 2006

    michuzi naomba kujua kama huo uwanja utakuwa na paa juu maana kwa jua la bongo inaonekana watu bado watakuwa wamekaa na miamvuli wakichek games!
    itakuwa vyema sana kama hizo hela za wachina zitatusaidia kukava paa ili watu wa-wjnoy vizuri.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2006

    rhxoqsa,
    Maeneo ya Temeke, chang'ombe yamepimwa na yana ramani kama uliivyosema, lakini karibu na uwanja wa Taifa si iko Keko? Kuna maeneo ya keko amabko nyumba zimejengwa kiholela huenda nayo inaonekana hapo kwenye hiyo picha.

    Nafikiri kitu kinachangio maenoe yalikyopimwa kuonekana namnagani vipi ni kwa shauri ya upana wa mitaa na umbali wakati picha inachukuliwa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 30, 2006

    wachina hawajui kiswahili hivyo lipoti zote za ujenzi wa uwanja huu zinaandikwa kwa kiswahili na hata malipo yanatolewa kwa kiswahili na wanaandika mbao shilingi elfu hamsini na si ruksa kuandika 50,000 kwa namba watakunyonga...wachina hawambui kituu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...