huu ubao ubo mahali fulani bongo. kuna mtatuzi? ntatoa jibu jumapili. jibu la ramani kesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hiki ni kijiji cha Tanganyika kipo njiani kuelekea Tanga.

    ReplyDelete
  2. kijiji kipo njia ya segera tanga kuna machungwa matamu sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2006

    Michuzi
    Hiyo iko katikati ya Chalinze na Segera. Humo kuna Mbwewe, Mboga, Kabuku, nk.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2006

    Tanganyika, hapa Michuzi unanikumbusha mbali. Kijiji hiki kiko barabara kuu ya Tanga/Segera na kipo kama kilomita 6 hivi kutoka Mlingano (kabla ya kufika Hale) kuelekea Segera from Tanga. Kuna wa-Bondei kibao eneo hilo, mashemeji zangu hao.

    ReplyDelete
  5. nashukuru kwa michango yenu, wote mmepatia. ahsante sana, nafurahi kujua kumbe hamjasahau homu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...