Home
Unlabelled
wapi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiki ni kijiji cha Tanganyika kipo njiani kuelekea Tanga.
ReplyDeletekijiji kipo njia ya segera tanga kuna machungwa matamu sana
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteHiyo iko katikati ya Chalinze na Segera. Humo kuna Mbwewe, Mboga, Kabuku, nk.
Tanganyika, hapa Michuzi unanikumbusha mbali. Kijiji hiki kiko barabara kuu ya Tanga/Segera na kipo kama kilomita 6 hivi kutoka Mlingano (kabla ya kufika Hale) kuelekea Segera from Tanga. Kuna wa-Bondei kibao eneo hilo, mashemeji zangu hao.
ReplyDeletenashukuru kwa michango yenu, wote mmepatia. ahsante sana, nafurahi kujua kumbe hamjasahau homu
ReplyDelete