nachill-out na kina fid q, tid na dully misifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2006

    naona baridi kalii hapo kwa mshikaji pembeni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    kuliwa kibiga ndio nini? kiboga ndio chakula gani????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2006

    Jee, hizi ni chuki binafsi kwa wasanii mpaka wanakashifiwa hivi ama ndiyo hali halisi, na ndiyo yanayotokea kwa baadhi ya wasanii wa kwetu?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2006

    Duh kweli wabongo tumechoka kuanzia sura rangi na nguo sijui sabuni mbovu hatung'ai yaani kulaleki
    nice pic anyway

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...