Home
Unlabelled
macheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi samahani huyu wa pili kutoka kulia mwanaume au mwanamke. Duh viwanja vingine. Wewe Michuzi ni mwisho wa yote hizi picha unazipataga wapi, Hongera sana unatuburudisha.
ReplyDeletedaa MIchuzi pic hii inanikumbusha mbali sana, kweli wewe ni kiboko yao kwa pic !sikutegemea kama ningekuja kukutana na pic kama hii !hongera sana Michuzi
ReplyDeleteMichuzi ... this is way back, wakati Mbowe Disco Tech tunacheza na kifusi cha mchaga kiko ndani ya stage.....very few will remember that.
ReplyDeleteDuu, Makochella kafa lini tena? kweli kukaa sana ughaibuni chooo, tunapitwa na mengi... hii picha kiboko inanikumbusha mbali sana, enzi za wakina makochella na macheni ndio mabahari wa mwanzo walíokuwa wanapiga pamba nzito na truck suit...Enzi za kucheza boggie YMCA, MBOWE NA MAGOTTI. Tafadahli michuzi naomba uweka picha ya marehemuu KALIKALI enzi zake pale space, na wakina RAY ABDUL.... bila kunsahau GERRY KOTTO AND THE LOVER......
ReplyDeleteAh ndugu yangu umenikumbusha enzi hizo za world vision 2000. Siyo siri ilikuwa na raha yake.
ReplyDeleteMichuzi .. hizo zilipendwa si mchezo mwanangu . Tunaziomba zaidi hasa zile za YMCA na Mbowe. Enzi hizo ukiwa na raba la kuchumpa unatesa mtaa mzima, tinabuu, 'don't toch my shoe' na nini. Marehemu Dj Kalikali,Chris Phabby na wengineo . Ni raha tuu.. Michuzi tushushie zaidi hizo wakwetu.
ReplyDeleteChris Phabby enzi hizo akijulikana kama "The Lover" kaacha mambo ya ki-Dunia! Siku hizi amempokea bwana na anajiita "The Gentleman". Niliwahi kufanza naye kazi pale Sigara. Alikuwa na vyombo vyake vya muziki ambavyo kavigawa kanisani kwa sasa.
ReplyDeleteSIMBA WACHA KUTUMIA LUGHA CHAFU! RESPECT!
ReplyDelete