kulia ndiye hussein macheni enzi hizo akiwa mtu wa viwanja. hapa ni new vision 2000 ushirika klab ama maggot mwaka 1989. kushoto ni hayati makochella

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2006

    Michuzi samahani huyu wa pili kutoka kulia mwanaume au mwanamke. Duh viwanja vingine. Wewe Michuzi ni mwisho wa yote hizi picha unazipataga wapi, Hongera sana unatuburudisha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2006

    daa MIchuzi pic hii inanikumbusha mbali sana, kweli wewe ni kiboko yao kwa pic !sikutegemea kama ningekuja kukutana na pic kama hii !hongera sana Michuzi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2006

    Michuzi ... this is way back, wakati Mbowe Disco Tech tunacheza na kifusi cha mchaga kiko ndani ya stage.....very few will remember that.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2006

    Duu, Makochella kafa lini tena? kweli kukaa sana ughaibuni chooo, tunapitwa na mengi... hii picha kiboko inanikumbusha mbali sana, enzi za wakina makochella na macheni ndio mabahari wa mwanzo walíokuwa wanapiga pamba nzito na truck suit...Enzi za kucheza boggie YMCA, MBOWE NA MAGOTTI. Tafadahli michuzi naomba uweka picha ya marehemuu KALIKALI enzi zake pale space, na wakina RAY ABDUL.... bila kunsahau GERRY KOTTO AND THE LOVER......

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2006

    Ah ndugu yangu umenikumbusha enzi hizo za world vision 2000. Siyo siri ilikuwa na raha yake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2006

    Michuzi .. hizo zilipendwa si mchezo mwanangu . Tunaziomba zaidi hasa zile za YMCA na Mbowe. Enzi hizo ukiwa na raba la kuchumpa unatesa mtaa mzima, tinabuu, 'don't toch my shoe' na nini. Marehemu Dj Kalikali,Chris Phabby na wengineo . Ni raha tuu.. Michuzi tushushie zaidi hizo wakwetu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 01, 2006

    Chris Phabby enzi hizo akijulikana kama "The Lover" kaacha mambo ya ki-Dunia! Siku hizi amempokea bwana na anajiita "The Gentleman". Niliwahi kufanza naye kazi pale Sigara. Alikuwa na vyombo vyake vya muziki ambavyo kavigawa kanisani kwa sasa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2006

    SIMBA WACHA KUTUMIA LUGHA CHAFU! RESPECT!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...