ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2006

    si mchezo,huyo mwenye yellow nimemkubali.muafrika halisi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2006

    Hayo ni mambo ya Prom dance high schools ama colleges in the USA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2006

    Every comment must be approved by the blog owner! i think Mr Sheki this is the problem we are facing now.....this is not fair!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2006

    NAMSAPOTI SHEKI HAPO JUU. HATA MIMI PIA NIMETOA COMENTI FULANI, NA WALA SI ZA MATUSI HATA KIDOGO BALI ZA USTAARABU NA KIKUBWA UKWELI. NA PIA KUMUUNGA MKONO MICHUZI NA KUWAPIGA VITA WANAOTAKA KUMWANGUSHA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE HATA KUSIKIA KUWA KUNA WATU AMBAO NI TIMU WAMEAMUAKUFUNGUA BULOGU NA KUJIITA -MICHUZI- (MICHUZI FEKI HAO, HAWANA AKILI WAMEONA NJIA YA KUPATA UJIKO NI HII TU, YA KUJIFANYA WAO NI MICHUZI. LAKINI MAONI HAYA SIYAONI, HAYAJATOKA MPAKA SASA. ETI SASA MICHUZI KUNA TATIZO? MAANA NI WAZI KUNA MCHUJO, BAAZI YA MAONI YANATOKA BAAZI HATUYAONI. TUELEZE NDUGU. ASANTE.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2006

    We Sheki umetoa komenti unataka tena uzione. Kwani umetoa comment ili uzione mwenyewe au? sisi wenzio tunaziona pole sana!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2006

    Hawa lazima watakuwa watoto wa high school cheki mapozi tu utajua.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 01, 2006

    WEWE ANONY WA TAREHE 30 JUNE, MNAMO SAA YA 9:41. UNA MAANA GANI UMEENDA SHULE KWELI. MANA NASHINDWA NI KITU GANI UMESHINDWA KUMUELEWA BWANA SHEKI. NI SIMPLE, TUNAPOTOA MAONI, THEN TUNAYAONA YANATOKEA PAMOJA NA MAONI MENGINI TUNAPOSOMA TUNAONA YETU NA YA WATU WENGINE PIA. NA UNAPOINGIA HUMU UTAGUNDUA MAONI MENGINE HAYAPO HASA KAMA UMEANDIKA MAONI NA UNAONA HAYAPO, MIMI NAMWELEWA SHEKI MAANA HATA MIMI IMENITOKEA. AAAH JAMANI MUWE WAUNGWANA SIO MNAINGIA HUMU HAMNA LA MAANA LA KUSEMA MNAANZA KUWASHAMBULIA WATU.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 06, 2006

    thats a ghetto high school prom!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...