Home
Unlabelled
mambo ya ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
si mchezo,huyo mwenye yellow nimemkubali.muafrika halisi.
ReplyDeleteHayo ni mambo ya Prom dance high schools ama colleges in the USA.
ReplyDeleteEvery comment must be approved by the blog owner! i think Mr Sheki this is the problem we are facing now.....this is not fair!!!
ReplyDeleteNAMSAPOTI SHEKI HAPO JUU. HATA MIMI PIA NIMETOA COMENTI FULANI, NA WALA SI ZA MATUSI HATA KIDOGO BALI ZA USTAARABU NA KIKUBWA UKWELI. NA PIA KUMUUNGA MKONO MICHUZI NA KUWAPIGA VITA WANAOTAKA KUMWANGUSHA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE HATA KUSIKIA KUWA KUNA WATU AMBAO NI TIMU WAMEAMUAKUFUNGUA BULOGU NA KUJIITA -MICHUZI- (MICHUZI FEKI HAO, HAWANA AKILI WAMEONA NJIA YA KUPATA UJIKO NI HII TU, YA KUJIFANYA WAO NI MICHUZI. LAKINI MAONI HAYA SIYAONI, HAYAJATOKA MPAKA SASA. ETI SASA MICHUZI KUNA TATIZO? MAANA NI WAZI KUNA MCHUJO, BAAZI YA MAONI YANATOKA BAAZI HATUYAONI. TUELEZE NDUGU. ASANTE.
ReplyDeleteWe Sheki umetoa komenti unataka tena uzione. Kwani umetoa comment ili uzione mwenyewe au? sisi wenzio tunaziona pole sana!!!!!!!
ReplyDeleteHawa lazima watakuwa watoto wa high school cheki mapozi tu utajua.
ReplyDeleteWEWE ANONY WA TAREHE 30 JUNE, MNAMO SAA YA 9:41. UNA MAANA GANI UMEENDA SHULE KWELI. MANA NASHINDWA NI KITU GANI UMESHINDWA KUMUELEWA BWANA SHEKI. NI SIMPLE, TUNAPOTOA MAONI, THEN TUNAYAONA YANATOKEA PAMOJA NA MAONI MENGINI TUNAPOSOMA TUNAONA YETU NA YA WATU WENGINE PIA. NA UNAPOINGIA HUMU UTAGUNDUA MAONI MENGINE HAYAPO HASA KAMA UMEANDIKA MAONI NA UNAONA HAYAPO, MIMI NAMWELEWA SHEKI MAANA HATA MIMI IMENITOKEA. AAAH JAMANI MUWE WAUNGWANA SIO MNAINGIA HUMU HAMNA LA MAANA LA KUSEMA MNAANZA KUWASHAMBULIA WATU.
ReplyDeletethats a ghetto high school prom!!
ReplyDelete