faraja kotta akimkabidhi msanii wa bongo fleva mb dog tuzo ya singo bora ('waja) ya mwaka kwenye hafla ya tuzo za wanamuziki bora jumamosi dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2006

    duh ! kumbe bongo kiasi hicho, sikujua.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2006

    nakumbika nilitoa shutuma kwa watu kama diamond jubilee hall humu ndani watu wakanisema. Kama hii show imefanyika diamond hakika wameikarabati, ambacho ndiyo kilio changu hasa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2006

    Nampa hongera kijana huyu kwa mafanikio ya single yake na basi iwe chachu ya mafanikio zaidi ktk fani yake. Lkn hiyo kofia ndo sijaelewa matumizi yake. Ndo kuiga wanamuziki weusi marekani au Bongo siku hizi nako baridi kali?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2006

    jamani mwensenu ni mwenyeji wa Ilinga....ahhahhha!
    Lazima katoka Iringa huyu kwa hiyo, tusimlaumu sana jamani au??

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2006

    ..Hiyo ilifanyika Ubungo plaza!naona mambo mengi yamehamishiwa huko!diamond bado choka mbaya tu!watu walikuwa wanalazimisha mambo tu!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2006

    hiyo kofia nafikiri aliazimwa na Father Xmas.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2006

    siyo siri kuhusu kuvaa wananume wa kibongo ni zero. Ila jamaa namzimia na nyimbo zake. Dressing men, we got do something.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2006

    Hii noma sasa! mimi nilifikiri kavaa TENGA kichwani! kumbe kofia! bila shaka kichwa kilikuwa kinawaka moto kwa joto,sio Fresh kuiga hovyo mambo bila kuzingatia mazingira na hali ya hewa ya mahala tunapoishi ndugu zangu!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2006

    Jamani wanamuziki bongo wa kiume hawajui kuvaa kabisaaa wachche tu ndio wanajitahidi .Kuiga mambo ya majuu wakina 50 sent tunaomba yapungue wavae kivyao maana wengine wanatia aibu sasa. Huyu kijana ameimba nyimbo zake safiii sana anastaili award ila mavazi ya father x-mas hapo nimezimia. Hana manager wa kuwashauri jinsi ya kuvaa na sembuse wanajua atakuwepo kwenye moja ya washindani? jamani wasikilizage mamabo ya red kapeti hata kama hushidni kuvaa muhimu na kupendeza. Wanawake wa imbaji wanajitahidi sijui wamenong'onozwa au ndio kwend ana wakati ila wanaume please mavazi muhimu hata kwenye video clip zao wanavaa too simple kiasi kwamba video unaichoka haraka. Cheki K-line na Ray c wanajituma video zao zinavutia for long.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...