Home
Unlabelled
mb dog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh ! kumbe bongo kiasi hicho, sikujua.....
ReplyDeletenakumbika nilitoa shutuma kwa watu kama diamond jubilee hall humu ndani watu wakanisema. Kama hii show imefanyika diamond hakika wameikarabati, ambacho ndiyo kilio changu hasa.
ReplyDeleteNampa hongera kijana huyu kwa mafanikio ya single yake na basi iwe chachu ya mafanikio zaidi ktk fani yake. Lkn hiyo kofia ndo sijaelewa matumizi yake. Ndo kuiga wanamuziki weusi marekani au Bongo siku hizi nako baridi kali?
ReplyDeletejamani mwensenu ni mwenyeji wa Ilinga....ahhahhha!
ReplyDeleteLazima katoka Iringa huyu kwa hiyo, tusimlaumu sana jamani au??
..Hiyo ilifanyika Ubungo plaza!naona mambo mengi yamehamishiwa huko!diamond bado choka mbaya tu!watu walikuwa wanalazimisha mambo tu!
ReplyDeletehiyo kofia nafikiri aliazimwa na Father Xmas.
ReplyDeletesiyo siri kuhusu kuvaa wananume wa kibongo ni zero. Ila jamaa namzimia na nyimbo zake. Dressing men, we got do something.
ReplyDeleteHii noma sasa! mimi nilifikiri kavaa TENGA kichwani! kumbe kofia! bila shaka kichwa kilikuwa kinawaka moto kwa joto,sio Fresh kuiga hovyo mambo bila kuzingatia mazingira na hali ya hewa ya mahala tunapoishi ndugu zangu!!!
ReplyDeleteJamani wanamuziki bongo wa kiume hawajui kuvaa kabisaaa wachche tu ndio wanajitahidi .Kuiga mambo ya majuu wakina 50 sent tunaomba yapungue wavae kivyao maana wengine wanatia aibu sasa. Huyu kijana ameimba nyimbo zake safiii sana anastaili award ila mavazi ya father x-mas hapo nimezimia. Hana manager wa kuwashauri jinsi ya kuvaa na sembuse wanajua atakuwepo kwenye moja ya washindani? jamani wasikilizage mamabo ya red kapeti hata kama hushidni kuvaa muhimu na kupendeza. Wanawake wa imbaji wanajitahidi sijui wamenong'onozwa au ndio kwend ana wakati ila wanaume please mavazi muhimu hata kwenye video clip zao wanavaa too simple kiasi kwamba video unaichoka haraka. Cheki K-line na Ray c wanajituma video zao zinavutia for long.
ReplyDelete