kila mwaka wakati wa siku ya wanasheria wanawake duniani dr asha rose migiro huwa hakosi kujiunga na wasomi wenzie kwenye kutoa msaada wa kisheria bure kwa wananchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2006

    Kumbe Dr. Migiro ni mwanasheria?
    Je Mr. wake ana professional gani?najua tu ni msomi wa hali ya juu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    Sina uhakika,
    Lakini Prof Migiro ambae ni Mume wa Dr Asha-ROse Migiro ni Industrial Engineer na kwa sasa ni Mkurugenzi wa Cleaner Production Centre

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2006

    Sina uhakika, ila Prof Migiro ambae ni Mume wa Mheshimiwa Waziri nadani ni Industrial enngineer na kwasasa ni Director kwa Cleaner Production centre of Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...