waziri wa maliasili na utalii, antony diallo akipewa maelezo na Mkurugenzi wa mtandao wa WorldTourismExpo.com Bw. Mike Mushi (kwanza kulia) katika maonesho ya utalii ya 'karibu tourism and trade fair' jijini arusha Juzi. mtandao huo utakuwa ukitangaza tanzania dunia nzima. huyu kijana pia ndiye muasisi wa mitandao mingi ilotukuka ikiwa ni pamoja na ule wa kikweteshein.com. mlio ughaibuni si vibaya kuwasiliana nami/naye kama kuna uwezekano wa kutanua huduma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...