Home
Unlabelled
mwanza! mwanza!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, hapa panaonekana pabovu mchana. Ha haa, hebu njoo usiku uone hivyo vibanda vimewaka taa usiku, utafikiri uko Stockholm na taa za milimani. Umeleta kumbukumbu tamu. Hao jamaa wa mlimani, wakurya au washashi (watu wa msoma) ndio waliovamia hiyo milima. Sanitation ni mbovu huko, lakini watu wanabanana tu. Mvua ikinyesha, kinyesi kinashuka kutoma mlimani mpaka....ngoja niache.manake kipindupindu hicho.samahani kama mnakula.
ReplyDeleteJamani mmeona ile sinema ya Darwin's Nightmare! Yaani nchi yetu inanyonywa hivi hivi na hao kupe wa kizungu! Na sehemu kubwa imepigwa Mwanza! Yaani unaweza kulia! Serikali haiwezi kuingilia!
ReplyDeleteAu tatizo ni Money Talks!