pia ua lakini joseph kusaga akiwa na claudz efem na praimtaim ndo anaongoza bongo kwa kualika nyota wengi wa muziki toka sehemu mbalimbali za dunia. hapa yupo na koffi olomide arusha. hivi sasa keshamtia mkononi ja rule anayekuja mwezi ujao. ashanti ananukia, kwa mujibu wa wambea...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2006

    Aaaaaa! we Joseph Kusaga, ndo nini kuchana namna hii? mbona mnene sana? hasa hilo tumbo, toba yailani, kaka fanya mazoezi kidogo, itasaidia kuwa fiti, na upunguze ngono, basi, tulia na mke wako sawa kaka.?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2006

    Si mchezo. DJ akumbushwe tu kutopiga nyimbo za 50 cent asije akarushiwa chupa ya crystal! Kusaga ni mmoja wa wabongo wengine wachache wenye mtazamo wa kazi mbele, majungu na malumbano pembeni.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2006

    Naona Jo. wanazoza kuhusu unene wako na ki-friji kweli unacho, kama tunavyoona vizuri ulivyopozi hapa pichani. Lakini ushauri wangu ni kwamba punguza kutiatia pia, wewe tulia na mkeo, pia itasaidia na unaweza kuwapa ushauri washkaji wako kama Ruge Mutahaba, Matare Nyerere, Kinje Ngombale Mwiru, Joseph Kahama, Cathbert Mbowe, na kadhalika wapunguze. Peter Rupia, Albert Marwa twasikia wamepunguza, Beni Mulokozi anatia mkewe tu siku hizi. ila anajulikana ana ngoma kama Albert Marwa. Haya kuweni waangalifu kaka zetu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2006

    Wajinga wako wengi kweli, hapa juu unasema ati Albert Marwa kabadilika? una uhakika gani? kwa kuwa amechambwa humu kwenye bulogu? mtu kamwacha mkewe kwa ajili ya binti wa Kikwete. na Huna haya kweli pia kusema Peter Rupia kabadilika, hizi data unatoa wapi? alionekana na huyo Sinare bird kwa shoo ya Shaggy, na hivi karibuni kaonekana nae kwenye gari, unataka kubisha? wewe chizi nini?, au ni mshkaji wako amekukatia kamisheni? anawanawake wa namna tafauti na wengine si wabongo. Na huyo mwanamke wake shombe wa London ni mjinga tu, kwa mana haiwezekani kweli watu hawajamtonya na kumkonyeza mambo yanayoendelea hapa mjini?, huyu mtu hana mana kwanza mkewe ndo mana kamwacha akaanza kutiwa na wengine kwa ajili ya tabia yake chafu. Huyo alokuwa Bi Nyerere (Irene) karuka mkojo kakanyaga mavi ukweli ndio huo. Wala simtetei mumewe kwa mana Matare naye ni looser fulani hivi, user wa wanawake, sekela amemchoka kwa kumtegemea kipesa, basi hakuwa anamchuna tu Sekela, jamaa kum-use mkewe pia mashallah, hana haya na anasitahili kuchambwa hapa mtandaoni. Mkewe anasifiwa hakubabaikia jina kubwa, punde aliposikia ufuksa wa mumewe akaamua kumpiga buti, hongera mama,lakini kama unaingia humu watu wakuonye,kuhusu jamaa yako huyu. haupo peke yako.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2006

    Kitu kinachofurahisha hapa ni jinsi attention ilivyohamishwa kabisa kutoka kwa Kusaga na Koffi hadi kuwarudia hao waungwana wengine, Marwa and co? Jose inaonekana ana muda sana na labda kuna kitu personal na hawa jamaa, vipi walikutenda nini? maanake hizo data na hiyo jazba anayokuja nayo haiwezi kuwa hivi hivi tu, inawezekana na yeye ni victim somehow, dada au kaka,samahani , do yours huwawezi hao!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2006

    Anony hapo juu, hujakosea nina jazba na watu hawa lakini si hawa tu nitakuwa hivihivi kwa waasherati wote wanaochezea dada zetu. Ndo mana siangukii upande mmoja, kumtetea Nyerere laa, nimesema naye anatabia chafu za kucheat na mikaka mingi kwa kuwa mkewe yuko Ughaibuni alikuwa gizani, wakati alitiana na Sekela Kabisa na kumtumia kipesa, mimi najua naongea nini hivi sasa huyu Matare anakijiofisi chake pale Muhasibu house na inaitwa RicMat au siyo, lakini main man ni Rashid. Jamaa kazi kushoo off tu, hana lolote hata haimudu familia yake. Sekela kamchoka sasa anatiana na kimwana mwingine. Lakini pia mimi mara mia huyu Irene abaki msela tu, single kulikoni kupendana na mtu kama Peter maana si mtu anayedeserve kuwa na kimwana kama huyu, ila labda kuna juju ya usukuma, maana ana ulimi mzuri na manene matamu ni wazi mana anavyokuwa na uwezo wa kuwagilibu dada zetu si kawaida. mana haiwezekani wabongo hawajamtonya huyu dada amwone kama mavi. hapa anawanawake zaidi ya wawili, na yeye watatu. huu ndio ukweli.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2006

    We JOSE tupe basi CV yako watu waione na waijadili maana yaelekea wewe ni safi na hayo wanayofanya hao watu wanakukera. Weka tu CV yako hata bila ya picha lazima kuna watakaokujua then watasema kuwa wewe ukoje kwenye jamii. Isije kuwa wewe ni zaidi ya hao jamaa zimekujaa tu chuki binafsi unakuja na mijazba namna hiyo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 06, 2006

    Nakubaliana na Anonymous kabisa. Wewe Jose ni chuki binafsi na zaidi itakuwa wivu juu ya huyu Matare. Inaelekea unamjua kwa karibu sana, sasa kama ni kweli waona anatabia chafu kwanini usimueleze kama rafiki, maana unajua inside details zake kiasi kwamba unaonyesha mnajuana fika. Sasa mbona humwelezi? Si ndio unafiki huu?

    Kila kukicha Matare, Matare, kulikoni? Na sasa Peter, sasa weye wajuaje kama mtu amebadilika?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 06, 2006

    OKAY! SASA NAAMINI WAZUNGU WANAVYOSEMA KUWA "A BLACK MAN THOUGHTS AND MUSLIM PEOPLE ARE THE THE WORLD BEST N 1ST KILLER!" SABABU HIYO GLAMOUR INAYATENDEKA HUKO PIRLIAMENT NI CRIME TUPU! NDIO MAANA ALWAYS MTOTO NA MWANAMKE ATAKUWA LAST CHOICE IN AFRICA FOREVER NA NDIO MAANA WANAZIDI KUFA NA KUTESEKA! MWANAUME ANAUWEZO WA KU OWN AS MUCH WOMAN AS HE CAN, N DECIDE WHAT TO DO WITH THEM! NA HUYO MBUMBUMBU WA ENGLAND BASI HIVYO ANAONA RAHA KUCHOMEKWA NA JITU KAMA HILO HATA KAMA LINA BULL SHIT NYINGINE CHUNGU NZIMA SIO! INGAWA LIKO EUROPE LAKINI HALI INTERGRATE DEVOLOPED SYSTEM! SHAME ON HER!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 06, 2006

    Bwana UNIVERSE (sijui ni Bwana au Bi Universe) Anyway, ndio namnyaka fika huyu Matare. na kwa taarifa yako nimeshajaribu kumkanya tangu alipokuwa akifurahia kushoo off mkewe yuko Ughaibuni na watoto ni bora kwake, ili apate uhuru wa kuendelea then kutiana na Sekela Kabisa, na si mimi tu waungwana kibao walimuonya si uungwana huu, kwanini watu kama nyie munaamua kuoa? Na we do not know what Sekela was benefiting from him, she had a good job too, she could travel and stuff, it is obvious she was just in for the shag. na kupapatikia jina kubwa mana pesa zilimtoka, na huyu Matare ndio tabia yake kuchuna wanawake, mara chache tu huwa akiwa nazo mashallah huwa anahonga sana na anaonekana viwanjani, badala ya kulipa matunzo ya watoto na mkewe. Na sasa Sekela kachoka, Matare ana kimwana mwingine sasa, tabia yake chafu kinachomsevu ni U-Nyerere. Lakini nakubaliana nawe kwa kumwita mbumbumbu huyu mkewe, mana bwana kaacha mkojo kakanyaga mavi. Bwana mbumbumbu kweli ina tafsiri nyingi, mbumbumbu si tu mtu ambaye hakusoma, maana huyu dada ni msomi na siamini kuwa watu hawajamtonya kuhusu tabia chafu za Peter. KUHUSU C.V yangu ndugu ni nzuri sana tu, bado sijaoa, lakini nimeseparate na kimwana ambaye nilikuwa nae kwa miaka mitano. hakuna uchafu wowote niliofanya, ukweli ndio huu, ila tu anataka commitment nami uongo bwana siko tayari, lakini baada ya miaka miwili hivi nitakuwa nimejitayarisha, hana subira, kwa hivyo yeye ndio kaniacha. Na ningefurahi kupata kimwana mzuri na mwenye tabia njema, mimi ni mwema na ndio maana sipendi kuona watu kama kina Matare kwa ajili ya jina wanadhani they can walk all over women cheat and get away with it, lakini tumeprove huyu mkewe mashallah hakubabaikia jina, punde kagundua kuhusu ufuksa alokuwa akifanya akamua kumpiga buti na kujitoa kwenye ndoa.Si kama mke wa Cathber Mbowe, anajua wazi uasherati wa mumewe lakini kang'ang'ana tu kama kupe kwenye ndoa. Lakini Matare nasikia alienda Ughaibuni kumuuguza mtoto wao bado, she used his ex maybe alihisi kutakuwa na chance ya kurudiana, maana akawa anakaa nyumbani kwa mkewe wakati wameachana, ni user tu huyu au na U-Nyerere wake haku afford sehemu ya kukaa. Duh! samaani naongea sana hapa maana mimi ma-bishoo sipendi. Ila nitafurahi kabisa kama Mkewe akimpiga buti Peter, mana kazi yake kutamba hapa mjini kuwa sasa yeye ndo ka-take over financially anamsupport Mke wa Matare na watoto, SHAME ON MATARE mana ni wazi he can not pay his childrens maintanance. Lakini na huyu Peter nasema hafai mana sisi wote tuna our other half, kama nilivyokuwa na kimwana wangu wa miaka mitano, hata sasa tumetengana lakini kipesa namsaidia akiwa na shida hapa na pale laini KAMWE siwezi nikatamba kuwa namsaidia, ni ushamba huu. Na wanaocheat ni wengi, hata huyu JOSEPH KUSAGA hapa juu, ni mwingine alikuwa anatiana na Hoyce Temu mpaka mkewe watu wakamtonya, pia JOSEPH KAHAMA kwa kucheat ndo mwenyewe wakifichiana siri hata na dada yake. ANTONY MAKANI PIA, ni mwisho. Duh, muogope ngoma jamani. Haya UNIVERSE natumaini nimejibu maswali yako. Shukran.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 07, 2006

    Na kweli kabisa unathubutu kabisaa kujiita mwanaume kwa udaku huo no wonder hata demu wako wa miaka mitano akakutosa, aliona mbali.
    halafu inaonekana wewe mwenyewe pia una tatizo la kubabaikia watu wenye majina makubwa (kama unavyodai) maana yake ndio 100% ya maongezi yako,kwa taarifa yako hao watu hawawakilishi hata chembe moja ya jamii ya kitanzania kwa ujumla, so in other words its pretty obvious that you envy them and you are dying to be just like them lakini ndio haiwezekani, kwa hiyo inageuka chuki, typical hater, ndugu yangu, ushauri wa bure, kwa usawa huo hautofika popote, we pigana tu na maisha katika chochote kile kinachokupa mkate wako elekeza nguvu yako yote huko, halafu labda, laaabda na wewe siku moja utakuwa unachambwa humu bloguni, hayo ndio mambo yanayoendana na umaarufu na kauwezo!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 07, 2006

    Watu kazi yenu kujiita "Anonymous" sasa najua kwanini hamjitambulishi majina ya kikweli. wewe huninyaki mimi, nipo hapa mjini naona kila kinachoendelea, labda ni wewe na udaku wako unapapatikia hawa mabishoo kwa majina makubwa, au una ushakaji na hao waliotajwa hapa? umechanganya na un'gen'ge basi nami nitakutilia: I know everything that goes on here if you give your real name I may even know you too and give details about you. unabwabwaja tu hapa hauna point yeyote, nikuulize swali haya mambo niliyosema wanafanya hawa waasherati wewe yanakufurahisha? sema bwana? I do not think so. Unajifanya nawe unanyaka mambo ya mjini sasa sema unajua kwanini hata huyu mshenzi Peter mkewe alimwacha kwa sababu gani? kama kweli upo hapa mjini lete basi habari zako. Waungwana wote mimi si typical hater kama alivyosema huyu sijui dada au kaka manake anaficha jina lake. Mimi napenda maendeleo na ni mkweli, ndio mana wameuliza C.V yangu nimetoa sasa the likes of this particular "Anonymous"of 12:56:49 AM anajaribu to use that against me. Toa point dada mana ukifatilia data zangu ni za kweli. Si zuga tu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 07, 2006

    Waungwana, hivi sasa hivi gunia la mchele ni kiasi gani? Asanteni!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 07, 2006

    Bwana Grill una haki ya uloyasema, lakini ni wazi watu wakipakwa hapa wanabadilika hii bulogu imesaidia, kama umeona maoni fulani yamekuja humu habari kuwa Albert Marwa sasa kajirudi na uasherati kaacha. Si nia ya muungwana yeyote ku-bore ka ulivyosema. Ila punde maoni yalipomwagwa humu watu wameuliza maswali ambayo ni muhimu kujibiwa. na kuhusu CV wanayoongelia au kuhitajiwa humu ni tafauti na ile ya kutafutia kibarua kama unavyonyaka, wanamaanisha ya mambo menngine kutokana na maoni nyeti na mengi niliyoona NAJUA MAANA YA CV. Asante bwana Grill.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 07, 2006

    Sasa JOSE kubadilika kwa huyo sijui albert marwa kumesaidiaje kuinua pato la Mtanzania wa kawaida kama alivyouliza GRILL hapo juu. Msije kuwa mnafanya vitu ambavyo havina faida kwa maendeleo ya nchi yetu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 07, 2006

    Big Grill umesema la maana sana. Watu kama huyo mshikaji wake albert marwa: Ale massawe na Raymondi shauri na wanaosadikiwa wanatumia majambazi kupata utajiri wao.....wafilisiwe na hizo fedha sijenge mashule au zipelekwe kwenye hospital za mikoani, maan hizo ni fedha za wananchi. FUNGA MBWA HAWA !

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 07, 2006

    NAKUBALIANA KABISA NA MAGOMBE, NAJUA WAZI VILE ALBERT MARWA ANAVYOFANYA NA MSHKAJI WAKE ALE MASSAWE, UTAJIRI WAO UNATOKANA NA UJAMBAZI WALA SIO SIRI. ILA SASA SERIKALI YA AWAMU HII IONEKANE INAFANYA KAZI KWELIKWELI, NA SIYO KAMA SERIKALI YA AWAMU ILIYOPITA AU YA MWINYI WAKATI KILA KITU KILIKUWA RUKSA,RUKSA TU. NA MJANJA HUYU ALBERT MARWA KWA KUWA ANAJUA AMEACHA MKEWE KWA AJILI YA MTOTO WA RAIS WETU KIKWETE BILA SHAKA BINTI YA KIKWETE ATAZUIA BABAKE KUCHUKUA HATUA YEYOTE ZIDI YA MCHUMBA WAKE, LAKINI HII HAIFAI. AWE KAMA MAREHEMU MWALIMU NYERERE AMBAYE ANAJULIKANA WAZI ALIKUWA HANA MCHEZO HATA KAMA NI MTOTO WAKE WA DAMU KAFANYA FAULU, ATACHUKULIWA HATUA TU. NA SIO HAWA TU.....NDUGU MAGOMBE WAKO WENGI AMBAO NIMESOMA BAADHI YA MAONI WANANCHI WAMESEMA HAPA WACHUNGUZWE, MMOJA WAO NAMTAJA NA AMETAJWA NA WENGI HAPA KWENYE HII BLOG YA KIMATAIFA, NI: DEO MTALEMWA, ANA BIASHARA HARAMU HUYU NA ANAJITIA ATI MAPESA YOTE ALOKUWA NAYO YANATOKANA NA DRYCLEANER. TUSIDANGANYANE HAPA HAIWEZEKANI, LAKINI WANAWEZA KUSEMA AAAAH WATANZANIA WANA MAJUNGU SANA NA WIVU.......KWAHIYO TUNAOMBA SERIKALI IWACHUNGUZE TU KWA UNDANI UKWELI UTAJULIKANA KWA KUTUMIA VYOMBO VYA DOLA.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 08, 2006

    Sasa haya ndio maneno wanaume, kina dada no offence, watu wenye akili timamu kwa ujumla, wanastahili kuongea, sio kujua tarehe Rupia sijui Dola au Faranga alichukua mke wa mtu, tutumie privilege hii kuzungumzia vitu ambavyo vitawasaidia wale ambao wana kero legitimate na hawana access na mtandao kama wengine ambao tunayo na ku abuse kwa kujadili personal issues za hao wachache wanadaodaiwa wana majina makubwa, bigg up to Magombe and Grill.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 08, 2006

    MAGOMBE, GRILL, JOSE, AND WHOEVER!HELOOOH! KAMA NYIE MNAJUA YOTE HAYO, KWA NINI HAMUENDI KUYAREVEAL KWENYE VYOMBO VINAVYO HUSIKA KAMA WANANCHI WA TZ? AU TUANZE RESEARCH?
    MNAJUA WWW NI WORLD WIDE WEB? MSIDANGANYWE NA "ANONYMOUS"! TUTOE MAONI YA KUJENGA NCHI YETU! JINSI YA KUMUOKOA MTOTO NA MWANAMKE WA KITANZANIA? TUKIUNGINA KWA NJIA HII WAUGHIBUNI NA WAHUKO, TUTAFANIKIWA KAMA WAPOPO(WAEAST AFRICA)! MICHUZI AMETUANZIA TUMALIZIE FOR GOD SEEK! SIO MIDUME NA MIDADA MIZIMA BLA, BLA, BLA, BLA! WATOTO WANAKUFA TU KILA SEKUNDE NA KINAMAMA! WAKATI SISI TULIOWACHAGUA WAKUBWA NDIO TUNAOWEZA KUWAONDOA NA KUWAKOSOA THE OTHER WAY TO ANOTHER! NA UMOJA WA MATAIFA SIKU JICHO LOTE AFRICA! WAKUBWA WA AFRICA WAKIPINGA TU KITU CHA WAZI.....ANGALIENI MIFANO YA WENZETU WANAOENDELEA SIO WANAODIDIMIA! WACHENI USWAHILI NYERERE NA KWAME WALISHAKUFA LONG TIME AGO! HATA HAO WAARABU WALIWAACHIA USWAHILI WANAWASHINDA! WAO WENYEWE WAKIMBIZI HUKU. HELOO MTZ WAKE UP ULIMWENGU UNAKUPITA! GET A LIFE B4 U FOLLOW OTHERS...OK!!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 08, 2006

    nafurahi kuona mnajadili kero zenye kujenga na zenye maslahi kwa taifa letu,lakini pia naungana na yeyote anayetaja majina ya waasherati ambao wanachangia kueneza gonjwa hatari la ukimwi ambalo pia ni kero kubwa kwenye nchi yetu hii maskini.Tunahitaji kuwaogopa na kuwakemea waasherati hawa ili nchi yetu iwe na watu wenye afya njema ili tuweze kulijenga taifa imara!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 08, 2006

    SWALI LA JOSE: july 07,2006 saa 10:47:39AM. JIBU NI KWAMBA: inajulikana wazi kuwa, ANNA KAHAMA CHEATED ON HER NOW EX-HUSBAND, IN RETALIATION TO HIS OWN INFIDELITY, na kuna maoni kibao tu humu toka kwa wananchi. Sio siri na kuwa Mama yake Anna alileta laana ndani ya familia yake kwa kusaidiwa na dada yake kwa hali na mali halafu akaanza kulala na shemeji yake, hatimaye akaolewa na kuwazaa hawa watoto wa haramu. Alivyofanya mama yao ni nje ya maadili,mila,na desturi ya mwafrika. Na wamenukuu wananchi hati ya kutoka kwenye mistari ya kitabu kitakatifu kuwa aliyofanya ni laana ambayo inaweza kuadhiri mpaka kizazi cha tatu na cha nne. Kweli watu tunazaliwa binadamu lakini wengine ni wanyama. Hawezi hata kutoa ushauri wa maana kwa ndoa za watoto wake kwani wanafahamu fika aliyofanya kuingia kati ya ndoa hiyo. Huu ni kwa ufupi tu. Nadhani swali lako si la maana kwakuwa nadhani watu wengi hapa mjini wanajua haya mambo ya aibu.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 08, 2006

    MWANDOSHA! MWANDOSHA! GET A LIFE URSELF B4 U INTERFIER THE OTHERS! MICHUZI HAJAFUNGUA UKUMBI WA PAPARAZZI HAPA OK? KAMA HAUNA MAWAZO YA MAANA AU USHAURI, WE SOMA TU BASI INATOSHA! HAO WATU HATUZIJUI PRIVATE LIFE ZAO WALA HATUTAKI! TUNAANGALIA KAZI ZAO TU!
    KAKOJOE UKALALE MPENZI OK! LEAVE BLOG TO "A BLOGGER!"

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 09, 2006

    Jamani mnajua lika dakika moja wanakufa watoto wangapi hapa Tanzania? na nani ni cause?

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 09, 2006

    Bwana GRILL atleast unajitambulisha jina, na ANONYMOUS unayeficha identity yako. SOMENI MAONI YOTE MUELEWE KABLA YA KUSHAMBULIA WATU. NIMESEMA WAZI HAPO NAJIBU SWALI LILILOULIZWA na Bwana JOSE. Na ndo maana ya bulogu hii wanaingia watu wengi toa maoni au yanapigwa maswali na watu wajitokeze wanaojua data kumwaga ukweli. NAMSHUKURU ANONYMOUS WA 3:54:23PM ambaye amewambia, MNAJUA KILA DAKIKA MOJA WANAKUFA WATOTO WANGAPI MJINI HAPA, NA CAUSE NI NANI? Ni hawa wanaoanikwa hapa, wakijirekebisha hili janga kubwa kwa taifa letu litapungua.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 09, 2006

    Ni kweli Mwandosha, huyo mtu wa juu yako tumfikirieni jamani! kuna mtu anayeweza kutoa jibu?

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 10, 2006

    Kigerera, nashukuru kwa comments, na kweli mitaani hapa baada ya kupakwa na kuanikwa hawa malaya wa kiume--wengine wamejaribu kujirudi, kama Albert Marwa, nimeona maoni ya waungwana, report imeletwa kuwa jamaa amebadilika mimi sina uhakika na hili jambo ila nasema ukweli sijamuona viwanjani hivi karibuni, Peter Rupia alionekana na yule kidosho lakini tu kwenye gari, kwahiyo naye labda anajirudi. Naomba nijufahamishe kuwa hapa kwa hii topic ambayo na waungwana wengi imetolewa you are absolutely right ni kama miezi hivi wanapakwa hawa watu, ikapunguka kiduchu--lakini bwana mkubwa Jose hapo awali alipiga swali, ndo mana nikajitosa kujibu swali au maswali yake, ndo yaka lead tena na maoni ya hawa mbuzi ambayo unasema yameendelea muda mrefu. Kweli watu kama hawataki kujirudi ni wazi hata wakianikwa hapa hawajali, na tunawapa umaarufu tu. kwahiyo naona kweli nitaenda hata kwetu Mbeya nilete story za maana. Nikuulize ka-swali kamoja, ndugu Kigerera, umejuwaje mimi natoka Mbeya? au nawe ni wanyumbani? lakini hili jina lako si la Mbeya laa sivyo, ningekusalimu: Ugonile? Ulimkafu?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 11, 2006

    Haya bwana Kigerera, sehemu ambayo Sangara wanawamaliza Dagaa hii ni kali, nadhani Musoma au siyo? Haya Punde nikiingizana nyumbani mkoani natumai kuleta story za huko. Asante.

    ReplyDelete
  28. wote mtapata laana ya Mungu kusema sema watu hovyo tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...