
nadya ahmed ndiye aliyechaguliwa kuwa miss photo point photogenic 2006 na pia miss kinondoni 2006. hapa tunapozi na mrembo wetu tukwia na mh. isaack sepetu aliyemvisha taji la miss photogenic. huyo dada ni julie urio mkurugenzi wa kampuni ya beautiful tanzanie modelling and casting agency inayotoa mkataba wa mwaka mmoja wa kazi kwa mshindi huyu na wa ilala na temeke ambako kote photo point tulidhamini kipengele hizo.
ps: naomba ndesanjo, ama makene ama mwaipopo ama mk ama damija ama mark msaki ama charahani ama kibanda ama yeyote yule anitafsirie neno photogenic kwa kiswahili. napata taabu kidogo kujieleza...
Photogenic- kuwa na muonekano wa kuvutia katika picha. ndo maana yake kama cjakosea sana, wataalam wa lugha watasahihisha
ReplyDeleteNani alisema Michuzi huwa hacheki? Kila mtu ana "soft spot" yake bwana...
ReplyDeleteAaaah Michuzi.... Huo mkono wa shoto wapi tena huko???
ReplyDeleteMichuzi michuzi kweli mkono hila dada anapendza, ni kutoka wapi kweli huyu ninawasi yangu macho ila nimekubali, mrefu, amependza kweli. Au jamani macho yangu tu. Anony wengine acha waseme.
ReplyDeleteMiss Photogenic 2006= Mnyange 2006 Anayevutia katika picha
ReplyDeleteNice suit michuzi, nice one.
ReplyDeleteDuh, michuzi hapo unaonekana kama vile Bulent Ecevit, waziri mkuu wa zamani wa uturuki.
ReplyDeleteMichuzi ninavyofahamu mimi Miss Photogenic ni kwamba ni Mrembo mwenye wajihi wa kuvutia kuliko wote. Hapo lazima element za uzuri wa umbo sura na vigezo vingine ziwepo.
ReplyDelete