agosti jero mmoja wa hawa atamrithi nancy sumari kuwa miss tz. hapa ni kambini kwao bwagamoyo. kwa taarifa photo pointi tumeteuliwa kuwa wapiga picha rasmi wa vodacom miss tz 2006. asanteni in advansi kwa pongezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2006

    wamependeza na tunawatakia la heri.Na mzee Michuzi na Photo point congrats nyie endeleeni kukamua son kwani ndio mpambano wa maisha.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2006

    Kigerera, naona unawapa moyo tu. Kwa kweli wengi tu hapo hawafai, wanaonyesha hata woga kwenye macho yao. Ila sitapenda ku-judge kitabu kwa kuangalia ganda lake tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2006

    Hongera Michuzi n Photo Point.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2006

    hamstahili si mnatukumbuka sisi amba mbao mliharibu picha zetu kwa personal interest wakati wa miaka mi 5 ya voda, michuzi uki zaa mtoto wa kike clazima awe malays

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2006

    lundenga mnafanya nini? hakuna mwenye mvuto wa haraka haraka ''pap bin vuup!!!! nasikitika sana ukiangalia miss india sidhani kama suala la uzuri lipo tena katika kumtazama mrembo maana hilo huwezi kumpata mshindi(maana wote ni wazuri hasaa) wanakuja kwenye vipaji na vinginevyo sasa sisi kwanza uchuje wazuri wabakie watano then utafute sasa mwenye uwezo....kazi ipo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2006

    Ni wazuri ndio lakini wako naive..sijui nitafrisije lakini wanaonekana very naive...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2006

    Kwakweli mimi nafurahi kweli kuona ni kiasi gani tunaweza kuthamini na kufurahia haki yetu ya kimsingi ya utoaji wa maoni bila kuhofia lolote.
    lakini wakati huo huo tuwe tunafikiria vizuri kabla ya kutoa hayo maoni na hasa yanapokuwa yanaelekea kuwa dua maana kama tuelewavyo masikio ya muumba wetu yako kazini 24/7 na hatuna uhakika yapi atayaokea...huyu ndugu yangu Anonymous wa Friday, July 21, 2006 10:18:03 PM yeye ameshikwa na hasiri kutokana na kila bwana michuzi alicho mfanyia na kuamua kuomba dua mbaya kwa mtoto au watoto wa kike wa michuzi. sasa jamani huyo bint hata hakuwepo wakati muheshimiwa na mzee wake mnakoseana sasa iweje dua zimlenge yeye . kwa kiwango flani nadhani nimekupata azma yako ni michuzi awe punished lakini mimi naona hiyo siyo fair hebu fikiria wewe watu wote wazizi wako waliokorofishana nao wengekunia dua mbaya ungekuwaje leo..
    Na pia huoni kuwa hiyo dua ulioomba inaweza akikugeukia na wewe maana hujui huyo mtoto kama anaweza kujaolewa au kuwa na uhusiano na mawano au mtoto wa wanaukoo wako sasa si utajilaumu sana.
    ushauri tu kama unahasira na michuzi unahaki zote za kimsingi kumeleza kuwa hukufurahishwa na kazi yake yaani give him the piece of your mind...thats how grown ups do alright

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 23, 2006

    NIMEFURAHISHWA NA MAONI YA NDUGU SHEKI, KWELI WOTE WAZURI LAKINI DADA ZETU HAWA KWANINI WANAONGEZA NYWELE FEKI? ZINAUZI BWANA, MANYWELE MAREFU AMBAYO SIO YAKO SIO FRESH HASA NA JOTO HILI LA HAPA DAR. SAMAHANI KINADADA HAYA NI MAONI YANGU TU.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 24, 2006

    Na sijui ninani kawaambia kinadada wenzangu kuwa mtu hakamiliki urembo hadi awe na nywele zinazoning'inia mgongo,kwa ufahamu wangu hata msichana akiwa na nyewle fupi bado ni mrembo.
    Zikiwa natura ahha zinalipa lakini hizi za kubandika zinatia kichefu chefu na joto hili la dar.
    jamani tujifunze kukubali who we r that is true beuty.be comfortable in your own skin.
    siku hizi wasichana wanawahi kuzeeka kwa sababu ya mawazo mengi ya kufanana na kina beyonce na wengineo.hivi hatujafahamu tu ni kwanini mungu aliumba kila mwanadamu na upekee.
    Nahii ndio sababu mahusiano haya dumu kwani wanaume wanaona hata akikuacha wewe atakuntana na wewe kama kumi huo njiani.
    lakini enzi za bibi zetu hata mama zetu mtu anafikiria kumuacha mpenzi wake maana anajua hawezi kumpata kama huyo hivyo watu wakifikia uamuzi wa kuachana ujue ndio ilikuwa last solution.
    ni katka kukumbushana tu......

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 26, 2006

    hivi kweli wana usalama hao wadogo zangu mbele ya lundenga?mungu awasaidie tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...