bongo kwa msosi tu, we acha tu!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2006

    guys is this Jimmy apson?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2006

    Wana blogi hizi chapati naona na ndizi za kukaanga. Duuuh ! wengeni ndio tunajus menu ya McDonald 99c burger with extra chiiz. Lazima upate umental. Kuleni raha wa nyumbani, Kuleni raha.

    ReplyDelete
  3. Kaka,

    Hapa Marekani kwenye sherehe waBongo wakiamua wanapika chakula we, kinakuwa kama vile tuko nyumbani. Unakuta, sambusa, bajia, wali, pilau, nyama choma, kuku, biriani, cutlesi, maandazi...yaani kila kitu sehemu moja, unakula tani yako na kubeba home!

    Meantime hiyo $99cent menu inafaa kama unahitaji mlo chapuchapu na mfunkoni mambo ndo hivyo tena. Mimi napenda zile chicken sandwich.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...