hapana. gari la miss tz 2005/2006 nancy sumary halina pancha ila sema malikia huyu wa urembon wa afrika anafanya kile madereva makini hufanya; kuweka upepo sawa matairi yote kuepuka midundo na miyumbo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. FUNDI: nikuwekee upepo ngapi dada
    NANCY: we weka tu mi hata sijui
    FUNDI: niweke 35 au 40
    NANCY: we weke mwingi tu ili usiishe haraka

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2006

    Bila kusahau kuwa kuweka upepo inavyotakiwa kunasababisha matumizi safi ya mafuta. Lakini hapo nyuma hiyo gari kulikoni? Au ndio vipanya vimesha mpiga pasi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2006

    Mbona kama upande mmoja limegongwa ama macho yangu???? Tafadhali tueleze bwana Michuzi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2006

    Vitu vingine sio lazima Bwana Michuzi awaeleze.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2006

    Kweli kabisa ni wazi limegongwa hapo pembeni, je ni Leaner driver Nancy? basi aendeshe na "L" plate. Mpaka atakapohitimu, lakini bongo bwana hamna sheria watu kibao wanaendesha bila leseni. Twanga tu dada, tesa kivyako, hamna noma. ikiharibika kuna wafazili kibao najua hawatamind kukurekebishia mkoko wako. Poa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...