Home
Unlabelled
pancha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
FUNDI: nikuwekee upepo ngapi dada
ReplyDeleteNANCY: we weka tu mi hata sijui
FUNDI: niweke 35 au 40
NANCY: we weke mwingi tu ili usiishe haraka
Bila kusahau kuwa kuweka upepo inavyotakiwa kunasababisha matumizi safi ya mafuta. Lakini hapo nyuma hiyo gari kulikoni? Au ndio vipanya vimesha mpiga pasi?
ReplyDeleteMbona kama upande mmoja limegongwa ama macho yangu???? Tafadhali tueleze bwana Michuzi.
ReplyDeleteVitu vingine sio lazima Bwana Michuzi awaeleze.
ReplyDeleteKweli kabisa ni wazi limegongwa hapo pembeni, je ni Leaner driver Nancy? basi aendeshe na "L" plate. Mpaka atakapohitimu, lakini bongo bwana hamna sheria watu kibao wanaendesha bila leseni. Twanga tu dada, tesa kivyako, hamna noma. ikiharibika kuna wafazili kibao najua hawatamind kukurekebishia mkoko wako. Poa.
ReplyDelete