mzee small akiomba picha za dezo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2006

    ni kweli kabisa angekwua mbali sana wka kipato ila ndio nchi yetu bado ipo nyuma kwa masuala ya vipaji watu wanavyo ila havipewi kipaumbele .Sijui uchumi wetu unafanya hivi au wivu mhhh jamani

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2006

    mhhh mbona small kaisha hivi? ni uzee au ?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2006

    Acheni majungu naona mnataka kusema kuwa small ana ngoma; hana ngoma wala nini.
    Vipaji visipewe kipaumbele wala nini, kipaunyuma kinatosha.
    Nimeshangaa kuona kuwa kwa mujibu wa hiyo picha hapo juu, eti kuna watu wanapitwa urefu na michuzi, mweeh! pole yao

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2006

    Hey Michuzi! U look sexy hapa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...