wa ughaibuni, hata wa hapa bongo, hapa wapi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2006

    Hapa sio kaunta ya Pensinsula Hotel (zamani Chui Bay) kweli?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2006

    Duh! mambo mazuri, maana zamani ni madingi tu wamefunga kwenye bar...sasa hii ndio happy hour au mamabo ya wikendi? Safi sana....

    ReplyDelete
  3. yaani hata wewe xhoqsa umeshindwa kubaini kwamba hapo ni baa ya lito thieta pale karibu na kanisa la mtakatifu pita ostabei? umeondoka lini bongo?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2006

    Haa michuzi xhoqsa hata hajui alitumia usafiri gani wakati anatoka bongo na hata ndege gani alipanda unamwambia ostabei hata ungesema airport au kariakoo hana kumbukumbu.

    ReplyDelete
  5. Hiyo baa iko kwenye coral reefs pale Golden Tulip.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...