iddy akiwa na washkaji waliompa taff kwenye harusi yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2006

    Damn family!!!....ya'll look sharp...nice seeing you guys representing....Gongratulations Idd and Gigi...from 1307 you know whatsup!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2006

    huyu wa 3 kutoka kushoto sio Capone a.k.a Fred Kazi??

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2006

    This seems to be a nice wedding. I'm planning to do mine in TZ. Michuzi I'll holla at you for my wedding. Thanks for the pics.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2006

    Upumbavu unapimika kwa macho. Poleni na joto.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2006

    mbona suti kila moja imefanana kivyake, mjomba hakuwachukulia masela suti za kumechisha,maanake zingine zinaonekana chooovu au picha tu kaka Masalo??

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2006

    We mtu juu yangu hapo, hawa watu sio wa kuvaa suti kama zile mnazozijua zinashonwa na watu wasiojulikana duniani! watu huku wavaa "designers" ndio thamani ya suit ok! fx: Hugo Boss, Armani,....Hapo bei ya suit ya mtu mmoja tu ni mshahara wako na family yako kwa muda wa miaka 10 labda! Usijali zinavyoonekana kwenye screen yako ya 19's! Touch n feel instead if is possible!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2006

    Sasa wewe anony mbona hivyo hata ukivaa hugu bossy, amanda sijui, siyo mpaka huwatajie majina na bei kinachotakiwa ni kupendeza tuuu!. wewe ukinunua, mpaka hutaje majina ndio watu waone umependeza jua basi tu umepoteza. Bongo wakati mwingine suti ya laki mbili tu(za kibongo) imeshonwa kariakoo/msasani/mbezi/sinza ukivaa kila mtu anakubali usitumie hela nyingi kiasi hicho wakati hupendezi. Bwana we acha tu waseme siyo mpaka useme mnaona nilivyo toka bei yake siyo mchezo kulisha miaka?. Hila pamoja na hayo wametoka bomba. Sijui ni summer maana kama wakenya. Anyway ni utani tu take it easily mshikaji wamejitahidi sana congra~ions.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2006

    It doesnt matter weather they are cheap or designer suits the guys look fabbb, just give them 5 for taking their time n companing Mr IDDY in his special day.U looking good bros.
    Congrats Iddy may allah give u happy marriage life n inshallah juniors...

    ReplyDelete
  9. Anonymous said...
    huyu wa 3 kutoka kushoto sio Capone a.k.a Fred Kazi??

    July 03, 2006 11:27 AM
    ----------------------------------

    Kama sijakosea huyo ni mshamma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...