Home
Unlabelled
washkaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Damn family!!!....ya'll look sharp...nice seeing you guys representing....Gongratulations Idd and Gigi...from 1307 you know whatsup!!
ReplyDeletehuyu wa 3 kutoka kushoto sio Capone a.k.a Fred Kazi??
ReplyDeleteThis seems to be a nice wedding. I'm planning to do mine in TZ. Michuzi I'll holla at you for my wedding. Thanks for the pics.
ReplyDeleteUpumbavu unapimika kwa macho. Poleni na joto.
ReplyDeletembona suti kila moja imefanana kivyake, mjomba hakuwachukulia masela suti za kumechisha,maanake zingine zinaonekana chooovu au picha tu kaka Masalo??
ReplyDeleteWe mtu juu yangu hapo, hawa watu sio wa kuvaa suti kama zile mnazozijua zinashonwa na watu wasiojulikana duniani! watu huku wavaa "designers" ndio thamani ya suit ok! fx: Hugo Boss, Armani,....Hapo bei ya suit ya mtu mmoja tu ni mshahara wako na family yako kwa muda wa miaka 10 labda! Usijali zinavyoonekana kwenye screen yako ya 19's! Touch n feel instead if is possible!
ReplyDeleteSasa wewe anony mbona hivyo hata ukivaa hugu bossy, amanda sijui, siyo mpaka huwatajie majina na bei kinachotakiwa ni kupendeza tuuu!. wewe ukinunua, mpaka hutaje majina ndio watu waone umependeza jua basi tu umepoteza. Bongo wakati mwingine suti ya laki mbili tu(za kibongo) imeshonwa kariakoo/msasani/mbezi/sinza ukivaa kila mtu anakubali usitumie hela nyingi kiasi hicho wakati hupendezi. Bwana we acha tu waseme siyo mpaka useme mnaona nilivyo toka bei yake siyo mchezo kulisha miaka?. Hila pamoja na hayo wametoka bomba. Sijui ni summer maana kama wakenya. Anyway ni utani tu take it easily mshikaji wamejitahidi sana congra~ions.
ReplyDeleteIt doesnt matter weather they are cheap or designer suits the guys look fabbb, just give them 5 for taking their time n companing Mr IDDY in his special day.U looking good bros.
ReplyDeleteCongrats Iddy may allah give u happy marriage life n inshallah juniors...
Anonymous said...
ReplyDeletehuyu wa 3 kutoka kushoto sio Capone a.k.a Fred Kazi??
July 03, 2006 11:27 AM
----------------------------------
Kama sijakosea huyo ni mshamma.