Al-Amin and wife yesterday in Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Congrats guys!you look good

    ReplyDelete
  2. what do you agree?

    ReplyDelete
  3. Kaka,
    picha zako hazina viwango babu,unakuwa kama amateur bwana wakati umefanya hii kazi kwa miaka sijui mingapi! Tunategemea kujifunza taaluma hii kupitia wakongwe kama wewe lakini kwa kweli picha zako naona hazina viwango kabisa.Yaani mashindano ya blogu za picha Michuzi hatuwezi kukuingiza kabisa.Changamka mzee.Na ni maoni tu,constructive criticism babu,au sio?

    ReplyDelete
  4. Wewe tuonyeshe zako basi. Kazi kupinga tu, miswaili bwana eti constructive criticism. Just mshukuru mtu hata mara moja basi. Anafanya hivi kwa mapenzi yake, this is not a profesional site ni blog, get it.

    ReplyDelete
  5. Wewe unayemwambia Michuzi picha zake hazina viwango, viwango unavijua wewe au unaandika tu kwa vile unajua kuandika? isingekuwa Michuzi ungeona hizo picha? kuwa mstaarabu usijifanye unajua saaana wakati hatujaona za kwako, weka za kwako tuzione.

    ReplyDelete
  6. Kumpenda Michuzi na kuipenda blog yake kunaendana na kuambiana ukweli.Ushabiki usio na kichwa wala miguu siupi nafasi.Tembelea photo blogs zingine za kiafrika ndio ujue tuna maana gani tunaposema viwango.Upambe nuksi tupu bwana Michuzi.Najua unataka kuipeleka wapi PhotoPoint,chukua changamoto hiyo.

    ReplyDelete
  7. Jamani mbona unataka kunilazimisha nitukane, picha zinaonekana vizuri,scanner ya ndogo ni kumpa pongezi, pili unalinganisha na zipi? maana ni ninavyoelewa yeye ni kwanza kuanzisha hiki kitu, tatu wewe kama ni mstaraam bado kitu kama hiki unaweza kumpa ushauri kupitia kwenye email yake, mijitu kama hii ndio mke au mume afanyi vizuri kitandani,inaanika mpaka kwa watoto na majirani.

    ReplyDelete
  8. to the 4th anonymous poster (8:00PM).
    I think you meant DUMBASS

    ReplyDelete
  9. maneno kama
    -picha zako hazina viwango
    -unakuwa kama amateur
    -mashindano ya blogu za picha Michuzi hatuwezi kukuingiza kabisa
    ndio naona yamefanya baadhi ya watu wasione kama unatoa constructive criticism bali uonekane unaponda.

    Kupeana mawazo ya kimaendeleo na kukosana ni vizuri, lakini inakuwa vema ukijaribu kutumia maneno kwa namna ambayo mtu ataona unakiheshimu alichokifanya kwa sasa, na kisha kutoa maoni kipi kirekebishwe.

    Maneno uliyotumia ndugu yangu naona yalifanya watu waone kama unajidai we mtaalamu na unaponda tu. Na naonelea ingekuwa vema ungemtumia michuzi barua pepe kumpa ushauri wako kwa faragha.

    Sio upambe au upinzani, ni ushauri wangu tu kwako anony wa 8:00PM unayedai kutoa constructive criticism

    ReplyDelete
  10. Kwa anony wa (11:09PM) Thank you for your correction, but I think he/she got the point. Now that is constructive criticism.

    ReplyDelete
  11. No that is not constructive criticism. Constructive criticism is when you point out exactly what the fault is with someone's work and possibly suggest what to improve on. You can't just start rambling on and on about how a person'w work is armeturish and not up to standard and claim to be aiming at helping.

    Here's some constructive criticism for you then:
    You are terribly misusing the words: constructive criticism. Look up what they mean so you can communicate better next time.

    ReplyDelete
  12. ..oh I forgot.. my message above was directed at the guy (anony from the 26th) who claimed that Michuzi's blog was not up to standard

    ReplyDelete
  13. Mdhamini,
    You need to go to school.

    ReplyDelete
  14. Mdhamini are you Michuzi's bodyguard!??? How many blog do you read a day? I maintain an Educational group blog here in the U.S.A. I have visited Michuzi blog whenever I have time to do so. But lately I find it hard to read it because I don't expect much from it because of the poor choices of Photo posted and article zinazoambatana na posts. Kukosoana sio kitu kibaya!

    ReplyDelete
  15. Above anyony,
    I completely agree with you

    ReplyDelete
  16. I also agree....these are poor quality pictures. Kuna blog nimevisit kama ya huyo Athumani i think the pictures are far much better,good focus point, educational na pia zinaentertain kwa wale ambao mmesoma photography im sure you get my point.Bwana Michuzi you are trying but you can do better na photography technics im sure hao maarusi wangeonekana vizuri zaidi.

    ReplyDelete
  17. Mtu mmoja amea kujiita anony, mara kassim mara sijui nani tena anandika na kujiunga mkono. Umetafuta kutukanwa tukakuacha lakini naona bado unaendelea kulilia tukutukane. Sasa mimi nakwambia pambaf kabisa weye. Wewe kama umeona kiwango kidogo kwanini usiache kutembelea blog hii? Kama ni mawazo yakujenga kwanini usimtumie Michuzi private mail ya hayo yanayokuwasha ngedere we?

    ReplyDelete
  18. WAMANGA WANANUKA!!

    ReplyDelete
  19. nyie mnajuana, inakuwaje mnajibishana namna hiyo? mara we nanihii we naninino mara ooh wananihii wan#n#ka. napata hisia mna yenu na sasa mnayaleta hadharani, tajaneni majina basi ??!! maana mmetoka kwenye picha na sasa mmefikishana mpaka kwenye jinsi mlivyo. acheni hizo usiku unakaribia

    ReplyDelete
  20. wewe anony wa august 26,saa 8:00, naomba ujue na hii ni kwa niaba ya michuzi kwamba kiswahili chako hakijatulia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...