Home
Unlabelled
Artistes
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka michuzi huyu ndiyo mshua nini maana naona unamshare middle na surname ...tupashe
ReplyDeleteila nasikitika sana kuwaona watu wazima wakisubiri laki mbili kwa kazi ambazo ziliwafanya wazazi wetu wakumbuke na kuongea jitihada ya kututafuta na hadi kutupa uhai leo hii hapa duniani.
Shukrani kwa hii picha na naona sasa wanamuziki wa zamani wananaza kupata haki yao.Jana nilipata nafasi ya kufanya mahojiano na Gwiji la muziki Cosmas Thobias Chidumule.Mnaweza kusikiliza haya mahojiano hapa:
ReplyDeletehttp://butiama.podomatic.com
Radio Butiama
http://butiama.podomatic.com
Michuzi umepotosha! Kushoto ndo King Kiki na Dr Remmy yuko kati kati!
ReplyDeleteI have to admit, I never knew there was a relative of yours that sang with Dar International.
ReplyDeleteBut then again I was out of the country when I was young and came back to Tanzania when the band was already defunct. I knew little of them from hearing their songs on RTD's zilipendwa and I only knew the late Marijani since he was the band leader and the most famous of the bunch!
Congrats to your brother (or cousin, not sure). Dar Internatioanl had some loveky songs!!
wazee tunawaomba tena uk!!! tulifurahi sana mlipo kuja kipindi kile !!
ReplyDeleteJana Jumamosi 26.08.2006 ilikuwa ni moja ya siku kuu kwangu. Nilikuwa nahudhuria tamasha la muziki na dansi/ngoma za Kiafrika. Onyesho kuu lilikuwa ni la Makonde Band ya Kina Alain Dekula Kahanga/Vumbi, Bobo Sukari, Sammy kasule na wengineo. Nilizungumza kwa muda mrefu sana na Bobo Sukari na Vumbi. Kama kawaida tukikutana lazima tutaanza na nani yuko wapi? Nani anafanya nini sasa? Muziki na sanaa vinaendeleaje? Basi katika hizo nani anafanya nini na nani yuko wapi, nikajikuta Vumbi ananiunganisha tena Abdallah Omar Mnanga/Dula tukaongea sana kwenye simu. Lakini katika hizo nani yuko wapi, moja ikanihuzunisha sana tena mno na hata sasa hivi najisikia kulia na machozi yananilenga. Muhidin, vipi? Ulijua kama Twahir Mohamed/Super Sax amefariki? Mungu Mrehemu Marehemu Mahali Pema. Amini.
ReplyDeleteF MtiMkubwa Tungaraza.